Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Dah imeisha patamu sana , dah Aiseee mpaka naumia
 
Namhisi Muajemi
 
Kumekucha [emoji2]
 
Namhisi Muajemi au kuna issue za pesa.Lkn kwa nn Mama Janetj naye pia hapatikani?
 
Hii inaonyesha dhahiri Mama Janeth amefanya mchongo wa kutekwa kwa Iyrn then akahama alipokua akiishi Lakni pia Muajemi ananipa wasiwasi maana tangu apate taarifa kuwa Iyrn amepotea Muajemi aliomba kukata simu haraka then akakaa kmia mpaka muda huu hajataka hata kukuulizia kuhusu Iryn, means alipokata simu atakua aliwapigia majambazi wake aliokua amewakodi kwaajiri ya hyo kazi ili kuwauliza kama wamefanikisha kumteka Iyrn.
 
Naam [emoji91]

Nilizisubir sana nyakati ngumu kwako mana maisha ndo yapo hvo
 
Nimependa hii analysis
 
Asanteee
 

Duh this story is unpredictable yani. Pole yake Irene na pole yako Insider. Hadi nakuonea huruma. Ni msala juu ya msala.

Wanaadamu tunapitia mengi sana kabla ya kuingia kaburini. Kuna msemo mmoja niliwahi kuusoma mahali unasema hivi: "MAISHA NI MTIRIRIKO WA MATATIZO NA CHEMBECHEMBE ZA RAHA"

Hata uwe tajiri kiasi gani utajikuta kwenye matatizo tu hata kama sio ya pesa yanaweza kuwa ya afya au family issues n.k Starehe tunazopata kwenye maisha ni ndogo sana ukilinganisha na matatizo.

Ukiambiwa kua uyaone ndio haya sasa. I wish Irene apatikane akiwa hai.

Thanks a lot for today but unatubania sana ungetuma walau 2 hivi.
 

Umetisha Insider! Hizi coincidences zinaeza fanya watu wafikiri ni story ya kutunga[emoji16].. Binafsi naamini in coincidences, zinatokea, so please guys msikosoe…..Hizi mambo zipoo [emoji3526]
 

Bira shaka Muajemi na mama janeth watakua wameshilikiana by 80%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…