Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Binafsi sijafurahia swala la iryn kupatikana labda kwa sababu ya expectations zangu nilizojiwekea
 
Tulio na kazi za kufanya hata hatuteseki tunaenjoy tu hata ikiletwa mwakani fresh tu. Pole yenu majobless [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1635][emoji1635]
Una nongwa we kiumbe[emoji1787]
 
Ah nyie critiques tunatamani sana kujua mnakulaga pisi gani! Ila mara nyingi huwa mnakula pisi mbovu sana! Basi tu hatujuani
Uko sahihi mkuu jf si maisha yetu halisi hta wewe na ufahamu wako hebu. vuta tu picha jinsi Iryn alivyosifiwa humu ndani kiasi mpka story hii inaenda ukingoni lkn hatujaona kasoro ya Iryn kiasi kila mahali wanapoingia watu wanaacha shughuli zao waume kwa wake ili tu wapate muda wa kumuangalia Star wetu wa hii movie ila hta wewe uko vzuri ni mrembo ila mnazidiana
 
Aisee ..
 
Acha genye, tamaa na shobo km hz utakuwa ulishapoteza utu wako huko nyuma😳😳
 
Huyu wanamtekenya Masega nn?!
 
Episode 39
Baada ya kupokea cm ya kutoka njee ya nchi na kugundua ni Irene nilishituka Sana

Endelea

Irene alinisimulia jinsi alivyo ondoka kwa kubebwa na Interpol kwa tuhuma za kujihusisha na ujasusi hivo mpaka mda huo yupo chini ya ulinzi ila alikuwa akiomba niangalie biashara zake akirudi atanipa taaamuuu
Tukutane jumamos kwa mwendelezo
 
Acha kulilia story hapa tulia jamaa ataleta kwa wakt unao fah
Dr wa ID acha maneno na wewe umesikilizwa kwani umewakilisha wote kwa kutumia!!!

Kama haupendi kusoma Uzi wote ukakakutana na posts zake INSIDER MAN uliza urahisi tunaotumia wengine kusoma posts zake kwanza bila wasi na tukiamua kusoma wengine tunawasoma humu kama kawaida..

Waanzisha nyuzi wanaweza kurusha muda wowote na kila mtu akawasoma wao kwanza kama mtu hataki kusoma nyuzi posti kwa posti.

Anayetaka kujua aulize, ajibiwe.

Jumapili njema
 
Muache mambo zenu hizo za kudandía mambo ya watu
 

Nafanyaje nikitaka kusoma posts za INSIDER MAN pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…