Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Umelia 😂😂😂
 
UMETISHA SANA MKUU

"Alikumbuka kuchukua simu mpya kwenye droo na kusahau simu yake ya siku zote"

Waiting for next episode bro!
Ila kwl unajua hapo yanajitokeza maswali mengine simu ya Mama janet alipokea na simu ipo??
Ila yote tisa scenario kama hizi akili inavurugwaga balaa huwezi kuwauzia simu kabisa kwene pr
Umelia 😂😂😂
😂😂😂Mkuu nimelia kuna kipindi unamuwazia mtu mabaya afu hata si kwl kama tunavofikiri ..
 
IFike mahali tu tukubaliane mabaharia kwamba mpaka hapa tulipofikia Iryn HALIKI TENAAA!... INSIDER MAN kashawekwa vilivyo kwenye FRIEND ZONE hatakaa aweze kupindua meza tena.Maana Iryn kashawafanya yeye na mkewe na mtoto mpaka dada wa kazi ni family na anawahudumia 😂😂😂😂 yan Iryn akichomoa betri tuu lazima man insider kiwake na kiumane...Kwel Iryn ni genious
 
Never say never. Wanawake hawatabiriki ukimkuta kwenye weak point unamkula vizuri mkimaliza ye mwenye anajishangaa imekuwaje mkakulana.
 
Pmj na kutoa taarifa kuwa hutakuwepo week hi nzima Bado Kuna watu watakuja kulia Lia hapa kukusumbua ushushe episode

Nitararaa nao mbereee"
 
Hii fiction inavutia kusoma, tatizo lipo kwenye english, english ni tatizo kubwa, sidhani kama mama janeth mkuu wa organization x kubwa anaongea english mbovu kiasi hcho.
Ni wapi umemsikia mama janeth akiongea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…