Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna watz ni malofa sana mkuu
 
Pole sana Mr Insider.
 
Iryn,Prisca,Mary,Maggy,Mama wawili,Lucy,Suraiya, wote hawa ungepiga na kusingeharibika neno,, kifupi ni kwamba wewe ni wa tofauti sana yani,, ndio maana wana humu ndani wanataka kusikia neno moja tu kuwa umepiga kwa Iryn,, vinginevyo hawatakusamehe,,
Siku atakapo kula nyuchi ya IRYN sisi wote tutasema Tawileee.
Cuba itabakia eneo bora kwa kuwafunza na kuwajenga vijana tayari kubaliana na mitaa.
 
Wapuuzi hao
 
Kwakweli ni ujinga wa hali ya juu

Ni vema kutunza privacy ya mtu
 
Hii stori chai zimejaa mpaka nimemaliza chapati zote aisee jamaa muongo kinyama yaani yeye Kila mtu ataempa hela hua anatoa kuanzia million hamna tajiri anaetoatoa hela ovyo ovyo eti nauli tu aisee uongo umejaa sana madereva Uber mnazidisha sana chai aise
 
Patamu hapa .....hii stori inanoga kwl kwl na kuna mengi tunajifunza kama movie vile [emoji91]
Kausha,inategemea unakutana na matajiri wa aina gani.Acha pigo za kishamba kama umeona chai weka ya kwako ya ukweli na ipate viewers wengi kama hii.
 
siku 3 mwendo mrefu hasa unajua kusisimua kufunza kuhadisia..kama una macho matatau kuna vya kuokota vingi sana umesambaza nje nje...iwe uwongo ila kuna watu wanaishi na kuishi....yaani toka nimeanza kusoma nikiona videm vikali vinanata naviona havina hela wana njaa kuna pisi za kuhonga usd 1000 na bado zinachomoa....
 
Kausha,inategemea unakutana na matajiri wa aina gani.Acha pigo za kishamba kama umeona chai weka ya kwako ya ukweli na ipate viewers wengi kama hii.
Wewe ndio mshamba unataka jamaa aendelee na chai zake watu kama nyie siwezi kuwawashnagaa sababu ni majobless ukweli ndio huo Sasa wewe kalisha matako hapo usubiri chai nyingine unywe
 
Kausha,inategemea unakutana na matajiri wa aina gani.Acha pigo za kishamba kama umeona chai weka ya kwako ya ukweli na ipate viewers wengi kama hii.
Huwaga sisi hatubishanagi na watu kama hawa kwenye huu uzi tushakubaliana yaani unagusa tu jina yake then ANGALIA neno ignore gusa pale utakuwa umepunguza muda wa jazba,hasira na kuenjoy story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…