Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jogooo hata awe na majike 10 hatahitaji jogooo mwingine aje Kwa utawala wake qumamaqe insiderman mkama jogoo tu
 
Hapo najua gari hautaweza kudrive.. hahaaa Nguvu zote kwisha. Sasa dhumuni la Iryn kukwambia njoo ndani alafu ndo akamhug jamaa ni nini
Hapa sasa inabid insider ili ku stablize the situation, a balance shobo, he should act fine and happy..Afanye kama hiibkitu hata haijamuumiza bali ana furaha na Iryn..Basi..
 
Acha yakutokee sasa wacha wahuni wakusaidie😁😁😁
 
Kwa ninavyozijua mind games za wanawake, Iryn amekuita hapo parking makusudi ili uone anatoka kwa nani. Pia kaamua kumkumbatia mbele yako ili uone, alikusudia kabisa kukuumiza roho!

Hayo ndio malipo ya kujifanya gentleman, ukaacha kumgonga then ukaenda kumkuwadia kwa Muajemi. What a revenge!

Ngoja tuone story itaendelea vipi. Lakini kwa sisi mabaharia, the only way ungeweza kupiga comeback hapo, ilikua ni kujifanya haujashtuka kabisa and you don't give a f@ck. Wala hata usiulize huyo ni nani. Ninge-act normal kabisa kama hakijatokea kitu.

Ngoja nione unachomoka vipi ndugu gentleman!

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…