Ni biashara ya usafiri wa Tax kwa njia ya mtandao, yaani dereva na mteja mnawasiliana kupitia application ya "uber"...kuuliza sio ujinga... Uber ni biashara gan jaman ? samahan
Itafika tu! Hapo tunavolialia arosto unatuchoraKaribu Chama cha Arosto Jf (CHACHAA)
Ipo itakuwa tu haelewi namna ya kufuata. Awe anabofya kila mwisho wa episode,maandishi yaliyoandikwa kichwa cha huu Uzi yenye ublue kila chini mwisho wa epsode[emoji116]Ndugu zangu naombeni mnisaidie kuangali episide ya 1 pale mwishoni kama link ipo au laah! Na je ukiifungua inakupeleka kwenye next episode au laah?β¦
Tushakua addicted sasa tunakomaa na arosto zetu tu hakuna namna uzuri siku hazigandii!!!π€£ π€£ anajikuta nani sijui
Itafika tu! Hapo tunavolialia arosto unatuchora
Unafurahiii mwenyewe!
Ipo itakuwa tu haelewi namna ya kufuata. Awe anabofya kila mwisho wa episode,maandishi yaliyoandikwa kichwa cha huu Uzi yenye ublue kila chini mwisho wa epsode[emoji116]View attachment 2746278
Kiaje mkuuIla huu uzi umehalibu,itoshe kusema umenihalibu
Kwa hiyo sisi tunasikiliza kinyau nyau unatuambiaje kwa mfanoKuna nyimbo ukiwa unaisikiliza automatically kuna mtu anakujia. Bhasj kwangu mimi kila nikiplay album ya Kanye huwa namkumbuka sana Mzee Pama maana alikuwa anaipenda sana album ya Kanye West βDONDAβ [emoji1544][emoji1544]
View attachment 2746318
Ndio hivyo mkuu. Kuna watu wanatamani watafuniwe kila punje,yeye ni kumeza tu huku anasinzia. Tumetofautiana.Kuna watu hawajui kujiongeza kabisa,
Majukumu ndo yanafanya tukutane ijumaa. Hata hapa nimetulia na Junior nawaandikia story taratibu, ndomana hata ukisoma unasisimka sababu nakuwa nimetulia na nimefocus. Pia inanisaidia kuyakumbuka matukio yote hata kama nilisahau narudi najazia pamoja na kupitia story vizuri bila kukimbizwa.
Tuko pamoja kuna msemo unasema βMambo mazuri hayataki haraka.β
weka na mm kwenye hiyo 1mHuu uzi unafuatiliwa sana, kwa sasa views imefika one Million (1M) sio mchezo, yani pamoja na baadhi ya wajinga waliojitokeza katikati kuuponda wakadhani watu wataacha kuufatilia ila watu WANAUFATILIA KWA KARIBU na nadhani kuna watu wengi huwa wanasubiria muendelezo ila hawacomment wala nini wal kulalamika ila wapo bampa to bampa congratulations kwa INSIDER Mtu mbad umewashika masikio watu million moja JF sio jambo la kitoto aisee your the best 2023, episode 42 Ila views 1M je zingalikuwa episodes 100 view wangekuwa 2.5M. Leo nijumapili tunasubiria muendelezo Mubashara hapa. We keep on waiting.
Sent using Jamii Forums mobile app
nahisi ndo wenye hela
Unatafutwa sana
Yooh insider nna shida na mawasiliano yako kakaHii picha niliipiga SAMAKI SAMAKI siku ya kwanza kwenda na Mzee Pama nikiwa na Mary. Na mpango wa kuitengenezea frame na nitaweka seblen kama ukumbusho.
View attachment 2742583
[emoji15]ushamba bana... Asante sana mkuu...Ni biashara ya usafiri wa Tax kwa njia ya mtandao, yaani dereva na mteja mnawasiliana kupitia application ya "uber"