Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ndugu zangu naombeni mnisaidie kuangali episide ya 1 pale mwishoni kama link ipo au laah! Na je ukiifungua inakupeleka kwenye next episode au laah?…
Ipo itakuwa tu haelewi namna ya kufuata. Awe anabofya kila mwisho wa episode,maandishi yaliyoandikwa kichwa cha huu Uzi yenye ublue kila chini mwisho wa epsode[emoji116]
Screenshot_2023-09-11-21-23-36-336_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Itafika tu! Hapo tunavolialia arosto unatuchora
Unafurahiii mwenyewe!

Majukumu ndo yanafanya tukutane ijumaa. Hata hapa nimetulia na Junior nawaandikia story taratibu, ndomana hata ukisoma unasisimka sababu nakuwa nimetulia na nimefocus. Pia inanisaidia kuyakumbuka matukio yote hata kama nilisahau narudi najazia pamoja na kupitia story vizuri bila kukimbizwa.

Tuko pamoja kuna msemo unasema “Mambo mazuri hayataki haraka.”
 
Hongera sana, kazi nzuri.
Ila hata katikati ya wiki unaweza tupia episode 1
Wazo tu
Majukumu ndo yanafanya tukutane ijumaa. Hata hapa nimetulia na Junior nawaandikia story taratibu, ndomana hata ukisoma unasisimka sababu nakuwa nimetulia na nimefocus. Pia inanisaidia kuyakumbuka matukio yote hata kama nilisahau narudi najazia pamoja na kupitia story vizuri bila kukimbizwa.

Tuko pamoja kuna msemo unasema “Mambo mazuri hayataki haraka.”
 
Huu uzi unafuatiliwa sana, kwa sasa views imefika one Million (1M) sio mchezo, yani pamoja na baadhi ya wajinga waliojitokeza katikati kuuponda wakadhani watu wataacha kuufatilia ila watu WANAUFATILIA KWA KARIBU na nadhani kuna watu wengi huwa wanasubiria muendelezo ila hawacomment wala nini wal kulalamika ila wapo bampa to bampa congratulations kwa INSIDER Mtu mbad umewashika masikio watu million moja JF sio jambo la kitoto aisee your the best 2023, episode 42 Ila views 1M je zingalikuwa episodes 100 view wangekuwa 2.5M. Leo nijumapili tunasubiria muendelezo Mubashara hapa. We keep on waiting.

Sent using Jamii Forums mobile app
weka na mm kwenye hiyo 1m
 
INA ENDELEA;
Iryn alifingua mlango wa gari na kuingia ndani, insider nipeleke nyumbani, nikamjibu sawa Boss,
Sikumchangamkia kama kawaida akabaki anashangaa ,
Mwanzo niliwaambia Iryn amekulia nje sana pamoja na kazi yake aliyokuwa anafanya mahotelini,
Mimi: Boss yule ndo shemeji mbona hatutambulishani
Iryn: kitu gani kimekufanya ukazani yule ndo shemeji au nimeshaavhana na Grizz?
Mimi: Boss Jinsi mlivhokumbatiana pale nani hawezi kujua yule sio mtu wako?
Iryn: Wabongo kwa hiyo kukumbatiana na mtu ni mpenzi wangu,? Alafu nilikuambia bongo sioni mtu wa kutembea naye,
Yule ni mteja nilikuja kumfanyia massage, ametoka South africa
Mimi: Nisamehe Boss nilikufikiria Vibaya, kumbe yule jamaa aliyekuleta pale ni mteja,
Iryn: Ndio, vp Mama Janeth anasemaje?
Mimi: Anakusalimia na amefurahi sana nilivyofanya kazi yake kwa haraka.

Iryn: Vp Sumaiya mzima? Aliniambia ulienda kwake hadi ndani.
Mimi: Boss yule mtoto wa kitanga usimuamini sana
Ghafla Simu yangu ikaanza kuita, kuinua hivi simu kumbe ni Muajemi anapiga.

Iryn: Insider nani anakupigia simu usiku?
Ikabidi nimdanganye ni Jane wa Pama ndo anapiga sababu aliinita kwake kule mbweni.

AROSTO MBAYA SANA
SAMAHANI INSIDER NJORO WA UBER KWA KUKUWEKEA VIONJO
 
Back
Top Bottom