Ila ww Mungu anakuonaNipo bize sana leo naomba usitupie episode kwa leo mpaka pale nitakapotulia.
Wako msomaji.
IRYN aliamua asibaki nyuma na yeye kurudisha mapigo kwa wamisri alikuwa na pupa ya kunivua suruali yangu kwani haijuwa imevuliwa kumbuka nilikuwa nakamilisha mahesabu ya kazi. aliteremka kwenye kitanda haraka ili aivue kwa uharaka kiufupi kama alichanganyikiwa. alivua chap pamoja na boxer bila kuchelewa uzuri nilishasafisha msitu wa mababu sisi wanaume huwa tunaamini mda wowote unakutana na match hivo haturuhusu msitu uwe na majani mengi.
ghafra niliona moyo unadunda sana sikuamini IRYN alichokuwa ananifanyia kwani kilikuwa ni kitendo cha haraka sana, nilishangaa mtoto wa kishua kumenya mua kwa mdomo tena kwa ufundi wa hali ya juu, lakini ghafra tulishtushwa na mlango uliokuwa unafunguliwa kutazama alikuwa muajemi, wote tulipoa kama tumemwagiwa maji wakati huu kila kitu kikiwa live.
itaendelea....
sikuamini IRYN alichokuwa ananifanyia kwani kilikuwa ni kitendo cha haraka sana, nilishangaa mtoto wa kishua kumenya mua kwa mdomo tena kwa ufundi wa hali ya juu, lakini ghafra tulishtushwa na mlango uliokuwa unafunguliwa kutazama alikuwa muajemi, wote tulipoa kama tumemwagiwa maji wakati huu kila kitu kikiwa live.
itaendelea....
Mimi sisomagi story kabisa. I am lazy man kusoma.story yako ilikiwa inajitokeza kila mara na baadae nikataka nione kuna nini .baada ya kutia mguu INSIDER sikupiga kope mpaka nilipomaliza episode iliyoko last mpaka sasa. the way inavyovutia mpaka sasa nahsi Sonona coz inabidi nisubirie episode pale utakapoamua. Respect kwako young broAm working on it, kuna wadau washanitafuta tayari tukifikia pazuri nitawapa mrejesho.
Kama fisi hawana majukumu achia mmoja mkuu ampe lessonHuu ni uzi wa insider ikiwa kuna mtu anaweka mwendelezo haramu ni lazima mwenye uzi awajibike, ana asipowajibika maana yake aliyepost anavibali vya mhusika (mwenye uzi)
Soma vizuri mwandishi ni yule yule mwenye uzi
Ngumu kum outsmart insider man .jamaa ni genius .story iko very complex ila ukiifanyia cross examination anaweza pata tuzo huyu Dogo .kama kuna mistakes ni negligible .na admire accuracy ya maeneo .jamaa analijua jiji vilivyoHicho kipande cha mnara kusoma 5G na iryn kumenya muwa hakuandika insider man Kuna mwamba aliendeleza tu pale alipoishia insider man. Insider man alikuja kusimulia pale muajemi alipokuja kumuulizia iryn then akampa bahasha.
Hapana Mkuu, nasisitiza tena nimeisoma story 'hii thoroughly' neno baada ya neno ukiondolea sehemu moja tu ama mbili ktk dialog series ndipo alichanganya majina tu badala ya kuandika Prisca alitaja Iryn lakini kwa muktadha story yenyewe, jamaa hajajichanganya kabisa.Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.
Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......
Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....
Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... 😁
Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.
Ni kweli, ila huyo jamaa ni kocha Nabi ndiye alifanya hivyo, hakufanya poa kuweka dodoso huku akimtambilisha Insider Man kama muweka dodoso 😂Hiyo habari unayosema alipokuwa room pale Zenj na Iryn siyo narration yake kuna mdau hapa JFndiyo aliyeweka dososo kuchangamsha jukwaa baada ya watu humu kulia na arostoo.Kama sikosei ni Mkuu SMART GHOST.
Ile ni mtu mwingine alikuwa anaendeleza hakuwa insiderPale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.
Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......
Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....
Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... 😁
Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.
Ni burudani tu 😂
Nimeshatuma fisi mmoja kutoka kambini na ameshampa somo kocha Nabi 😁Kama fisi hawana majukumu achia mmoja mkuu ampe lesson
Ni kweli, hata Insider Man alimuonya huyo jamaa na wapambe wake.Ile ni mtu mwingine alikuwa anaendeleza hakuwa insider
Ofcourse wasomaji wengi ambao hawakuwa makini waliingia maboya na ile story ya utani aliyoiweka Kocha Nabi. But aliomba radhi.Nimeshatuma fisi mmoja kutoka kambini na ameshampa somo kocha Nabi 😁
Story hii nafikiri ni moja ya story bora kabisa kuwahi kuandikwa hapa JF.
Nampongeza sn Mkuu INSIDER MAN kwanza kwa uandishi wake wa viwango vya hali ya juu ukizingatia kwamba anayapanga matukio katika hali ambayo inamfanya msomaji awe na suspense ya kujua nini kinafuata kwenye mtiririko wa hii story.
Nimetumia siku 4 kuanzia eposod ya kwanza mpk hapa alipoishia huyu mwamba, nimesoma huku nikifuatilia matukio kama kuna sehemu either kajichanganya lkn to be honest sikuona. Na hii ndiyo inaonesha kuwa hii ni true story cos anakwenda day after day, week after the same etc. etc.(according to my analytical eye) kwa hii story.
KILICHONIVUTIA
1. Sehemu nyingi za ukanda wa kuanzia Posta kurudi kaskazini yote ya Dar nimezunguka sn maeneo yale na barabara zote pamoja na maeneo mengi anayoyaeleza msimuliaji nimekuwa nikiyapita so nilikuwa naenda naye bampa to bampa.
2.Msimuliaji ana bahati sn ambayo ni 'unique' hizi bahati zinawapata watu wachache sana. It's God given!
3.Kuna mtu humu amekuwa akicomment hii story na neno lake moja tu la 'NUKTA ' yeye hana maneno mengi kwenye coments zake kiasi ambacho naye amekuwa kivutio...
4. Kuna wajuba walimshukia Ndg INSIDER kwa nguvu ya 5G kuwa mwandishi anayoadithia ni 'Chai' kiasi ambacho kilipelekea uzi kuchafukwa na mwandishi kutaka kuwithdraw ila nguvu ya wana JF iliwazima kama moto wa kibatari.
USHAURI:
Mkuu INSIDERMAN napenda niungane na wana JF wachache waliodokeza kuwa weka kitu hiki kwenye kioo( TV) utengeneze hela. Nahakika na kwasababu unatembea na bahati usishangae unapiga hela kupitia contracts na wadau wa tamthilia kama Dstv or Azam
Labda oscar oscar yule wa wasafiTuzo ya Oscar tutachukua sisi tukiitoa hii
BEi 2,000$Mkuu insider kuna gari langu bovu nimeuza likikuwa linanisumbua Sana!
Kwani hiyo massage ya Iryne inazidi 300K
Hata mie alitaka kuiingiza king 😂Ofcourse wasomaji wengi ambao hawakuwa makini waliingia maboya
Kabisa mimi nimebahatika kupitia maeneo kadhaa ya pande ambazo amekuwa akizitaja kwakweli nilijikuta nikivutiwa na hii story cos mandhari aliyoyaeleza ni popular sana kwangu.I second you mkuu, huyu jamaa kama hii story ameitunga based on true story basi amepunguza na kuongeza chumvi kiasi kidogo(very smart).
Kwa mtu mzoefu wa kupita pita maeneo tajwa kwenye hii story utagundua man analifahamu jiji kwa uzuri hususan hizi sehemu za bata.
Legendary comment[emoji110]