Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nilishinda siku nzima home ndo nikatoka jioni kwenda Airport, nilikuwa nisha andaa mpango tayari nikiwa home.

Pamoja na yote, uko sharp Kapten. Akili haijaganda...
Ila Kama Muajemi ndio aluchoma utambi namna Ile, acha Iryn awe kichaa, itakua ilimuuma sana kuona unajipatia pesa Kwa mgongo wake na unamuona kama malaya licha ya Imani yote aliyowekeza kwako na kukuchukulia kama familia.
 
Kumbe Insider ni tapeli!! Why do you plan to con Muajemi? Nilitaka kushangaa, mtanzania asiwe kibaka pale anapoona fursa?.
Hizi ni tabia za kishenzi na za kipumbavu.
Mwanzoni nilikusifia, Sikujua kama na wewe ni kibaka
kwani amekubaka?
 
Damn man!!!! Daaaaamn!!!!

Hilo donge la wivu hadi mimi nimelipata

Yaani demu unayeshinda nae unaona hivi hivi analiwa aisee huwa inauma sana.
 
Kumbe Insider ni tapeli!! Why do you plan to con Muajemi? Nilitaka kushangaa, mtanzania asiwe kibaka pale anapoona fursa?.
Hizi ni tabia za kishenzi na za kipumbavu.
Mwanzoni nilikusifia, Sikujua kama na wewe ni kibaka
Kuna mbinu nyingi za kuingiza hela, mbinu hii aliyotumia insider ni mbinu mojawapo halali kabisa kwa kuchota hela za muajemi.

So usimuite kijana wetu kibaka.
 
Kuna mbinu nyingi za kuingiza hela, mbinu hii aliyotumia insider ni mbinu mojawapo halali kabisa kwa kuchota hela za muajemi.

So usimuute kijana wetu kibaka.
jamaa yenu kibaka, jamaa kaniwai tu kuconment hvo, sasa ikaja tena muajemi aliamwaga yote kwa rryn kuhusu ukibala aliofanyia na jamaa, unadhani jamaa yenu alificha wapi uso wake
 
Kumbe Insider ni tapeli!! Why do you plan to con Muajemi? Nilitaka kushangaa, mtanzania asiwe kibaka pale anapoona fursa?.
Hizi ni tabia za kishenzi na za kipumbavu.
Mwanzoni nilikusifia, Sikujua kama na wewe ni kibaka

Muajemi ilikuwa halali yake maana alifanya mambo ya kiwaki kuniharibia kwa Iryn, alishindwa kuwa mstaarabu na alifanya vile tukose wote.

Nimempa assist kabaki yeye na kipa tu kapaisha na bado akaniharibia kwa kusema maneno ya uongo.
 
Wololoyayee aisee
 
Ndyo umeamua uje kufunguka hapa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sijapendaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo Insider amekusifia sana mpaka vijana wamammind kwann asikulishe muhogo muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…