Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hata mimi huwa naacha kero zikianza
 
We ni introvert sio
 
Mpango wake wa kukuumiza ume fail, kisiran kime takeover sasa. Hao ndo wanawake
Alijua ataumia akakuta mwamba INSIDER MAN zaid ya kichaa..Anazid kupasua anga na warembo.🤣🤣 na hapo ukute alipata taarifa ya Gorata kwenda saluni na mwamba kichaa insider man
 
MIMI SIZOEANI NA DEMU HATA KAMA HOUSE GIRL AKINIZOEA NABUTUA ALAFU NAKEEP DISTANCE...HATA NIKIISHI NA NYUMBA ZA KUPANGA NILIKUWA SINA MAZOEA NA MPANGAJI YOYOTE MANA NAJUA TU NITAMLA AU KUKWAZANA.....SIKU YA KWANZA TU KULETA MAZOEA HUYO IREN ANGELOWA
 
Kuna kitu kilimuumiza Iryn...anajua yy ni mzuri,anajua wanaume wanamtaka,halafu kakutana na mtu ambaye hajaonesha kujali,sio tu hajali "kamuuza" kwa mtu mwingine.Kifupi anajiuliza mengi sana,na kisaikolojia kiwango cha chuki anachokionesha sasa Iryn ndo kiwango hichohicho alichokuwa na upendo kwa INSIDER MAN ,anajaribu kutafuta attention but in a wrong way,hapo INSIDER MAN akiyumba atakuwa controlled to the maximum...ningekuwa mm kazi ningeacha pasipo yy kinifukuza,hii ingemuumiza zaidi na lazima yy ndo angeomba poo.
 
Ndio uzuri wa kuwa na backup, namaanisha mama wawili.
 
Usisahau wale wazungu ulisema tutakutana nao tena huko mbele, especially yule wa kiume. Au mimi nilipitwa, na hapa naona hadi ushaacha biashara ya Uber tayari.
 
Umesema yote yaliyopo kichwani kwangu. You're smart kama jina lako lol! Imagine unaruhusu mpaka Mke ukimpa excuse za kazi anarudi kwa Boss wako kuuliza kama ni kweli.. what a disrespect! Sisi wanawake usipotuwekea mipaka au kuwa na misimamo mikali ya kiume saa nyingine lazima tukupande kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…