hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Muendelezo saa ngapi mkuuMkuu mpango ni mzuri ila kwa kitu kizito alichopigwa nacho ingekuwa ngumu kujaa hapa. IRYN naye alivimba kwa Muajemi alimwambia ananyumba za kutosha ana pesa za kutosha so habaishwi na pesa zake.
Pia niliona hio pesa ndogo kwake hata isingemuuma, kuna kauli pia inasema usishindane na Tajir maana hachelewi kukulaza kaburini