Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapa Ndoo unapata funzo mtangulize Mungu katika kila jambo maishani mwako iwe shida au raha na pia tuishi vizuri na watu wanaotuzunguka
Kiufupi amefikia mahali pa kutembea kwenye snow bila viatu hahaa tumvumilie....kampoteza mzee pama, iryn ndo uyo kaenda, muajemi na ndoto za biashara ya lubricants inaelekea kuyeyuka, uber imekata, kiuhalisia hakuna maisha yasokuwa na ups n down
 
bado akaniharibia kwa kusema maneno ya uongo.
Muahemi hakusema uongo, alisema ukweli kabisa, tena ukweli tupu.

Sema alichofanya yeye alikusengenya. Kuna tofauti kati ya uongo na usengenyaji.

Uongo ni kusema jambo ambalo halijatokea kuwa limetokea. Na kusengenya ni kusema jambo lililotokea bila ridhaa au bila mamlaka ya kulisema.

Muajemi alikusengenya kwa Irine na sio kama alimwambia irine uongo.
 
Lakini kwenye maisha Kuna vitu vinaweza kumpata vikambadilisha kabisa. Hawa wote Bado Wana uchungu na wanataka kulipiziana visasi. Iryn amejazwa maneno na Muajemi akajaa, anafanya vituko amkomoe Insider...

Ila Iryn nae kukosa utulivu kiasi Cha kuanza kutumia kazi kumpelekesha kamanda wetu sio sawa. Hata kama ni kibarua Kuna wakati hua tunafanya maamuzi magumu ( niliwahi kuacha kazi huku Sina kazi, sishauri mtu mwingine afanye hivyo mie nilikua nna Bahati kama insider nikapata kazi nzuri zaidi baada ya kuwa nje ya mfumo Kwa takriban miezi 10, lakini sijawahi kuyajutia Yale maamuzi hata kidogo)
Ongezea nyama kidogo tukuelewe zaidi mkuu KUHUSU hio kazi yako
 
Siweziandika zaidi ya hapo Mkuu ila msisitizo ni kwamba, usikubali dharau kupita kiasi, mie kazi yangu ilikua ni kwenye shirika sio mtu binafsi ila mkurugenzi mpya akaja na mambo yake tukatofautiana sana ikabidi niwaambie Sina budi kuacha kazi vinginevyo watanifukuza. Haikua kazi rahisi na haikua maamuzi mepesi kuacha kazi ukiwa hauna kazi Wala hautarajii kupata kazi wakati huo. Watu walinishangaa lakini baadae nikaja kupata kazi ambayo nnadumu nayo Hadi Sasa nnavyomsoma INSIDER MAN

Kitu ambacho mie na Watu8 nane tunaona sio sawa ni Iryn kutaka kumnyanyasa Mwamba kisa kazi, ndio hapo linakuja suala la kumwambia ukweli na kumwachia kazi yake .
 
Ana haki kabisa Iryn ya kuchukia. Ksbb ameunganisha matukio yote kuanzia wewe kumpeleka hotelini kufanya massage. Na vile hasa alivyokutaka na uzuri wake watu wanamhitaji ila wewe unazingua kumla. Badala yake akaunganisha yote hayo amewaza wewe kichwani mwako umemjaza kama ni malaya tu na ndio maana hutaki kumla kwa kudhani ni malaya,pili mpaka umeamua kumuuza ksbb unadhani ni malaya.

Muhimu hapo ili mambo mengi yasiendelee kuharibika,hasa vile Iryn anakuwazia unavyomuona ni malaya tu. Tafuta kila mbinu haraka iwezekavyo umpitie. Hapo mtaongea mengi yatarudi on line.
 
Siweziandika zaidi ya hapo Mkuu ila msisitizo ni kwamba, usikubali dharau kupita kiasi, mie kazi yangu ilikua ni kwenye shirika sio mtu binafsi ila mkurugenzi mpya akaja na mambo yake tukatofautiana sana ikabidi niwaambie Sina budi kuacha kazi vinginevyo watanifukuza. Haikua kazi rahisi na haikua maamuzi mepesi kuacha kazi ukiwa hauna kazi Wala hautarajii kupata kazi wakati huo. Watu walinishangaa lakini baadae nikaja kupata kazi ambayo nnadumu nayo Hadi Sasa nnavyomsoma INSIDER MAN

Kitu ambacho mie na Watu8 nane tunaona sio sawa ni Iryn kutaka kumnyanyasa Mwamba kisa kazi, ndio hapo linakuja suala la kumwambia ukweli na kumwachia kazi yake .
Makini Sana mkuu madini mazuri kwa vijana wachakarikaji ........ nimekwelewa vema
 
Hizi episodes chache za mwisho na hata hii inaonesha kabisa Iryn alikuwa rafiki mnafiki...

Pamoja na kwamba amekusaidia sana, hata wewe pia umesaidia tena si kwa habari ya kazi tu bali hata kisaikolojia...

Ningelikuwa ni wewe katika stage hii aliyofikia, ningemchana live na kubwaga manyanga "kuresign"...
Wewe uko kama mimi.
Pamoja na kwamba Insider alikosea kwa kutotuma report kwa siku mbili (kiutumishi hili ni kosa kubwa), lakini bado hisia za mapenzi zinamuendesha vibaya sana huyu binti.

Kwa upande wangu kwa kuwa mama wawili ashasema nikitaka kazi nimwambie, plus yule rafiki wa mzee pama, nisingesubiri. I could've attacked first. Siku hiyo tungeenda kuonana kabla ya mazungumzo ningewasilisha resignation letter, if not intention to resign.

Na unajua wanaume wengi tunavyojiskia tukifokewa, especially na mwanamke mnaelingana au unamzidi umri! How embarrassing!!!

Sema ngoja tusubiri hapa hii comeback itakuwaje, maana naona this time mama Janeth ndo atambeba insider, just in case aliendelea.
 
Sema mwamba ulizingua sana kuacha paka ya iryn. Hii ni golden chance hazitokei mara 2 hata mama J mwenyewe angeelewa
 
Muajemi kama ulipanga kumpiga tukio,ilitakiwa liwe tukio la maana. Ksbb alishapagawa na Iryn, Ilitakiwa tu utengeneze mpango mkubwa.

Mpango ungekuwa hivi Iryn kwa sasa ana mpango wa kununua eneo pembezoni mwa bahari. Sasa eneo lenyewe linauzwa milioni 300,kalipia 150 . Bado 150. Sasa wenye eneo ni kama wana haraka na hiyo pesa wanaweza kuuza kwingine,na Iryn wamezinguana na mshikaji so uhakika wa kupata 150 hiyo kwa haraka haupo,labda anategemea mpaka mwezi ujao na hataki kumghasi babaake ksbb anaumwa. Hivyo nimeona hapo ndio pa kuweka sawa mpango wetu. Nafikiri tukamlipie hiyo 150 kimya kimya iwe suprise kwake Iryn.

Anakuamini asingeshtuka huu mpango. Vile vile uwe tayari akiushtukia basi iwe hivyo,lakini akinasa ndoano iwage ina mashiko. Na anavyomhitaji kwa udi na uvumba hilo angejaa. Bora mwindane kwa mambo yenye kusikika mliooo
 
Mkuu INSIDER MAN ...mwambie akupe offer ya masaji aliyokuahidi ili akikutema uwe umefaidi hata huduma aiseee... Maana ww umempatia huduma kedekede na ueye afaa arudishe fadhila 😂 😂 😂 😂 kudabanken
 
Muajemi kama ulipanga kumpiga tukio,ilitakiwa liwe tukio la maana. Ksbb alishapagawa na Iryn, Ilitakiwa tu utengeneze mpango mkubwa.

Mpango ungekuwa hivi Iryn kwa sasa ana mpango wa kununua eneo pembezoni mwa bahari. Sasa eneo lenyewe linauzwa milioni 300,kalipia 150 . Bado 150. Sasa wenye eneo ni kama wana haraka na hiyo pesa wanaweza kuuza kwingine,na Iryn wamezinguana na mshikaji so uhakika wa kupata 150 hiyo kwa haraka haupo,labda anategemea mpaka mwezi ujao na hataki kumghasi babaake ksbb anaumwa. Hivyo nimeona hapo ndio pa kuweka sawa mpango wetu. Nafikiri tukamlipie hiyo 150 kimya kimya iwe suprise kwake Iryn.

Anakuamini asingeshtuka huu mpango. Vile vile uwe tayari akiushtukia basi iwe hivyo,lakini akinasa ndoano iwage ina mashiko. Na anavyomhitaji kwa udi na uvumba hilo angejaa. Bora mwindane kwa mambo yenye kusikika mliooo
Watu mna mipango[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Fanya unavyo jua ila hao wazazi wa huyo binti wasijue umeoa mana uta potea kwenye ramani sasa waza tu iryn kakuchanganya mpk umeenda kuongea na muarabu hujachukua no.

Kuna mambo mengine yahitaji busara za wazee waka kuongelee mana wewe kama wewe hutoboi hyo siri ikijulikana.
 
Muajemi kama ulipanga kumpiga tukio,ilitakiwa liwe tukio la maana. Ksbb alishapagawa na Iryn, Ilitakiwa tu utengeneze mpango mkubwa.

Mpango ungekuwa hivi Iryn kwa sasa ana mpango wa kununua eneo pembezoni mwa bahari. Sasa eneo lenyewe linauzwa milioni 300,kalipia 150 . Bado 150. Sasa wenye eneo ni kama wana haraka na hiyo pesa wanaweza kuuza kwingine,na Iryn wamezinguana na mshikaji so uhakika wa kupata 150 hiyo kwa haraka haupo,labda anategemea mpaka mwezi ujao na hataki kumghasi babaake ksbb anaumwa. Hivyo nimeona hapo ndio pa kuweka sawa mpango wetu. Nafikiri tukamlipie hiyo 150 kimya kimya iwe suprise kwake Iryn.

Anakuamini asingeshtuka huu mpango. Vile vile uwe tayari akiushtukia basi iwe hivyo,lakini akinasa ndoano iwage ina mashiko. Na anavyomhitaji kwa udi na uvumba hilo angejaa. Bora mwindane kwa mambo yenye kusikika mliooo

Mkuu mpango ni mzuri ila kwa kitu kizito alichopigwa nacho ingekuwa ngumu kujaa hapa. IRYN naye alivimba kwa Muajemi alimwambia ananyumba za kutosha ana pesa za kutosha so habaishwi na pesa zake.

Pia niliona hio pesa ndogo kwake hata isingemuuma, kuna kauli pia inasema usishindane na Tajir maana hachelewi kukulaza kaburini
 
Naona IRYN anampango wa kukupunguza kwenye maisha yake Cha kwanza ilitakiwa uitafune mbususu yake hata akikupunguza uwe ushaweka alama ya kumvua bikin ayaani ungetumia ile ofa ya yeye kukufanyia massage ndio umkandamize hapohapo
 
Back
Top Bottom