Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Games after games [emoji28]Insider alifanya vizuri sana kumpotezea. Insider hakuna kumchekea wala kumbembeleza Lyn kama mbwai iwe mbwai tu
Uko kwenye cluster c personality[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kama tulianza pamoja nilisema story itabase kwa watu waliokuwa na impact kwangu, sijataka kugusia maisha yangu binafsi.
Kwa upande wa marafiki wa chuo nilikuwa nao wachache sana kama Aggy nilimwongelea, na pia kuna mmoja nitamgusia mbele kidogo. Hawa ndo walikuwa partners wangu, marafiki zangu wengi walikuwa niliosoma nao Advance na olevel ila hawa wa chuo wengi ni wanafiki tu.
Tyna - Tumekua naye japo alikuwa ni rafiki wa dada yangu.
Aggy- Tumesoma wote Olevel mpaka chuo
Dav- Huyu tumepiga wote Advance mpaka chuo alikuwa anasoma Finance utamkuta mbele.
Sijataka kuweka maisha yangu binafsi kwenye hii story ila marafiki ninao napia wa Taasisi X kuna moja nilimgusia alikwenda Europe kusoma kwasasa yuko Canada.
Kwa upande wa chuo hakunaga rafiki na mimi nilikuwa mtu wa mambo yangu. Pia nina zile sifa za “ANTI-SOCIAL.” [emoji23][emoji23]
Jibu la kiutu uzima kabisa na Me wengi wajifunze hapa, huwa wanafikiria alama pekee ni sex tuu, kumbe kuna mambo yanayoacha alama zaidi.Sex sio alama ya kuweka kwa mtu kuna mambo mengi ya kufanya mtu na ikawa alama tosha mfano nimemfanyia mambo mengi ambayo kwake ni alama tosha.
Chuoni mnakutana my watu wazima so huwezi mjua mtu nje ndani pia hata Kama mtu mchoyo ana Tabia nzuri ama mbaya huwezi jua Mana ameshakuwa mkubwa so anayaficha mabaya yake.upande wa chuo hakunaga rafiki
Hapo mfano ingekuwa ni kweli mshikaji anafanya dili lake kupitia ofisi tayari mkewe alikuwa ameshamchomaUmesema yote yaliyopo kichwani kwangu. You're smart kama jina lako lol! Imagine unaruhusu mpaka Mke ukimpa excuse za kazi anarudi kwa Boss wako kuuliza kama ni kweli.. what a disrespect! Sisi wanawake usipotuwekea mipaka au kuwa na misimamo mikali ya kiume saa nyingine lazima tukupande kichwani.
I couldn't agree more!Umesema yote yaliyopo kichwani kwangu. You're smart kama jina lako lol! Imagine unaruhusu mpaka Mke ukimpa excuse za kazi anarudi kwa Boss wako kuuliza kama ni kweli.. what a disrespect! Sisi wanawake usipotuwekea mipaka au kuwa na misimamo mikali ya kiume saa nyingine lazima tukupande kichwani.
Mimi nasubiri kipande cha mama J kumjua Prisca na mtoto wake heheDaah Iryn kabdilila kama sio yule wa mwanzo,halafu Insider mbona unajiweka sana kwa Prisca unamtafuta nini mama J??
Na me wengi hapa hatujakubali Iryn aachiwe bila kukazwa, tunampa mbinu kijana wetu afanye yake, yaani jogoo awike usiku wa manane na Iryn apige viyowe vya aaaassh ooooh insider insider waoooh jamani 😊 😊Huu uzi unanifurahisha jinsi Me mnavyopeana mbinu yaani mko bega kwa bega na Insider [emoji1787]
Imagine! Hiki ndio nachosema.Hapo mfano ingekuwa ni kweli mshikaji anafanya dili lake kupitia ofisi tayari mkewe alikuwa ameshamchoma
Mimi nasubiri kipande cha mama J kumjua Prisca na mtoto wake hehe
Hii timu mkuu itanipa ugonjwa wa moyo..jana tena tumepokea za usoKilicho kupata Sasa😂🤣🤣, oya goli la Jesus una pewa mkopo bank ya dunia😂 Darmian
View attachment 2741898
Ila naona Iryn hakuliwa maana insider alishapoteza chance nyingiiNa me wengi hapa hatujakubali Iryn aachiwe bila kukazwa, tunampa mbinu kijana wetu afanye yake, yaani jogoo awike usiku wa manane na Iryn apige viyowe vya aaaassh ooooh insider insider waoooh jamani [emoji4] [emoji4]
Hapo ndipo tutamruhusu kijana aachane naye mazima [emoji1]
Napita hapo daily mkuuHapo sio mbali na makulu road kama unakwenda Udom, ukishakata kushoto ndo kibarabara kinashuka kwenda kwangu, wanaonakaa maeneo haya watakuwa washapata ramani
Kuliwa buyu kunauma, mpango wake wa kumuumiza Insider anaona unabumakwa ninavoona iryn hajainjoy penzi jipya au ana hasira venyee ndugu yetu kamlia buyu[emoji23][emoji23] sasa anakasirika nini kwa mfano?? kinachomuuma ni nn?? kwakweli siku insider akimla iryn itakua ndo basi tena[emoji3064][emoji3064]
Insider endelea kuwa busy na mama kijacho tumpotezee chaurembo zaidi
Haha hao ndiyo wanaume....wenyewe wanajiita vichwa vya familia, ngoja tuone hiki kiunzi anakirukaje bwana mkubwaNashangaa kaingia mzima mzima mpaka kwenda kwao,kuhang na Mary mara Eva.
Labda mama J hana connection,na vile hajaolewa hata akijua hana cha kufanya.
Poor mama J