Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu kama tulianza pamoja nilisema story itabase kwa watu waliokuwa na impact kwangu, sijataka kugusia maisha yangu binafsi.

Kwa upande wa marafiki wa chuo nilikuwa nao wachache sana kama Aggy nilimwongelea, na pia kuna mmoja nitamgusia mbele kidogo. Hawa ndo walikuwa partners wangu, marafiki zangu wengi walikuwa niliosoma nao Advance na olevel ila hawa wa chuo wengi ni wanafiki tu.

Tyna - Tumekua naye japo alikuwa ni rafiki wa dada yangu.

Aggy- Tumesoma wote Olevel mpaka chuo

Dav- Huyu tumepiga wote Advance mpaka chuo alikuwa anasoma Finance utamkuta mbele.

Sijataka kuweka maisha yangu binafsi kwenye hii story ila marafiki ninao napia wa Taasisi X kuna moja nilimgusia alikwenda Europe kusoma kwasasa yuko Canada.

Kwa upande wa chuo hakunaga rafiki na mimi nilikuwa mtu wa mambo yangu. Pia nina zile sifa za “ANTI-SOCIAL.” [emoji23][emoji23]
Uko kwenye cluster c personality[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
 
upande wa chuo hakunaga rafiki
Chuoni mnakutana my watu wazima so huwezi mjua mtu nje ndani pia hata Kama mtu mchoyo ana Tabia nzuri ama mbaya huwezi jua Mana ameshakuwa mkubwa so anayaficha mabaya yake.
Ila Sasa njoo mkiwa wadogo Kama huko olevo advance and primary pale unamjua mtu uhalisia wake,Mana Kama Kuna mwingine hapendi kuelekezwa wenzake eti watajua na watamzidi. Kuna mwingine akiazimwa pamphlet ukilitoa kopi anaichana kopi yako.
Ingawa mie rafiki yangu wa kuzikana na kufa nimetoka nimekutana naye chuoni na huwa inatokea in rare case mno
 
Umesema yote yaliyopo kichwani kwangu. You're smart kama jina lako lol! Imagine unaruhusu mpaka Mke ukimpa excuse za kazi anarudi kwa Boss wako kuuliza kama ni kweli.. what a disrespect! Sisi wanawake usipotuwekea mipaka au kuwa na misimamo mikali ya kiume saa nyingine lazima tukupande kichwani.
Hapo mfano ingekuwa ni kweli mshikaji anafanya dili lake kupitia ofisi tayari mkewe alikuwa ameshamchoma
 
Umesema yote yaliyopo kichwani kwangu. You're smart kama jina lako lol! Imagine unaruhusu mpaka Mke ukimpa excuse za kazi anarudi kwa Boss wako kuuliza kama ni kweli.. what a disrespect! Sisi wanawake usipotuwekea mipaka au kuwa na misimamo mikali ya kiume saa nyingine lazima tukupande kichwani.
I couldn't agree more!
 
Huu uzi unanifurahisha jinsi Me mnavyopeana mbinu yaani mko bega kwa bega na Insider [emoji1787]
Na me wengi hapa hatujakubali Iryn aachiwe bila kukazwa, tunampa mbinu kijana wetu afanye yake, yaani jogoo awike usiku wa manane na Iryn apige viyowe vya aaaassh ooooh insider insider waoooh jamani 😊 😊

Hapo ndipo tutamruhusu kijana aachane naye mazima 😄
 
Na me wengi hapa hatujakubali Iryn aachiwe bila kukazwa, tunampa mbinu kijana wetu afanye yake, yaani jogoo awike usiku wa manane na Iryn apige viyowe vya aaaassh ooooh insider insider waoooh jamani [emoji4] [emoji4]

Hapo ndipo tutamruhusu kijana aachane naye mazima [emoji1]
Ila naona Iryn hakuliwa maana insider alishapoteza chance nyingii
 
kwa ninavoona iryn hajainjoy penzi jipya au ana hasira venyee ndugu yetu kamlia buyu[emoji23][emoji23] sasa anakasirika nini kwa mfano?? kinachomuuma ni nn?? kwakweli siku insider akimla iryn itakua ndo basi tena[emoji3064][emoji3064]

Insider endelea kuwa busy na mama kijacho tumpotezee chaurembo zaidi
Kuliwa buyu kunauma, mpango wake wa kumuumiza Insider anaona unabuma

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa kaingia mzima mzima mpaka kwenda kwao,kuhang na Mary mara Eva.
Labda mama J hana connection,na vile hajaolewa hata akijua hana cha kufanya.
Poor mama J
Haha hao ndiyo wanaume....wenyewe wanajiita vichwa vya familia, ngoja tuone hiki kiunzi anakirukaje bwana mkubwa
 
Back
Top Bottom