Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mwamba mbona design Kama unayumba hivi?

Unaanzaje kwenda kikao cha kikazi na mchepuko Mzee.

Eti Ooh upendi kubishana na mwanamke, unadhani dunia hii Kuna mwanaume aliyefanikiwa bila kubishana na mwanamke.

Uyo Prisca ungemkazia Tu unaenda kibishi then unarudi na zawadi yake analainika maisha yanaenda.

Unayumba Sana Mzee. Mademu sio watu wa kuwaendekeza kwenye issue muhimu.
 
Twende 56
 
Exactly [emoji817] utafaidi zile nyakati njema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…