Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Huyu prisca ni jini mkata kamba....Iryn asahau kupata mwanaume kama Insider man.
 
"Na muda huu nilisema nimpigie simu Iryn ili nimuulize tunaonana muda gani kwaajili ya mazungumzo. So baada ya kumpigia simu Iryn alisema kwa leo haitawezekana maana yuko busy hivyo tufanye kesho, na mimi nilimwambia kwa kesho itakuwa ngumu nina ratiba zangu muhim hivyo tuonane jumatano."

Na mimi nilimwambia kwa kesho itakua ngumu nina ratiba zangu muhimu hivyo tuonane jumatano......safi sana hapa Iryn naona kabisa mwili ulipata ganzi kwa muda, ukitoa uanamke wake hata kama ni boss hapaswi kunyenyekewa kupitiliza hili aelewe, TIT FOR TAT
 
Kabisa
 
Mimi ni msomaji wako mkuu na nakufuatilia vizuri Mr INSIDER MAN

Ila naomba nifanye uchambuzi kidogo, Sio Criticism ni uchambuzi tu, Nothing to hold maana ni story ya kweli[emoji16]

1.NIMEGUNDUA KUA KITAMBO ULIKUA UPO DIRECT SANA KWENYE MASIMULIZI YAKO (DIALOGUE ZILIKUA CHACHE NA ULIKUA UNAELEZEA MATUKIO MUHIMU, TUKIO JUU YA TUKIO)

NOWDAYS KUNA MAELEZO LIKE "NILIMPIGIA MARA YA KWANZA LAKINI AKAWA HAJAPOKEA, AKAPIGA MARA YA PILI AKAPOKEA AKANIAMBIA KUA NILIKUA BAFUNI[emoji16]"

MYSELF SIJAPENDA HAYA MABADILIKO, ILA NAENDELEA NA NAPENDA HII SIMULIZI

2.NAKUPONGEZA KWENYE SUALA KUMBUKUMBU (ZA MAJINA YA MIGAHAWA NA MAENEO ULIYOFIKA HATA KAMA NDIYO MARA YAKO YA KWANZA KUFIKA)


UTASIKIA "BAADA YA KUTOKA NA MAMA JANETH KWENYE ILE ORGANISATION, TUKAPATA ZETU LUNCH PALE S2KIZZY RESTAURANT"[emoji120][emoji91]
NADHANI HATA HIZI DIALOGUE PIA ZINAREFLECT MAZUNGUMZO YENU MLIVYOZUNGUMZA KAMA ILIVYOKUA, HAU ADD CHUMVI[emoji120]

3.KUNA SEHEMU UNAWACHANGANYA PRISCA NA MARRY KWENYE MAELEZO

NADHANI WAFUATILIAJI WENZANGU HIKI KISECTION WATAKUA WAMEKIONA KIPO JUU JUU HUKO SIJUI HEINEKEN ZILIKUA ZISHANOGA HAPO[emoji16]

4. PIA NIMEPENDA SASA HIVI HUA UNATUINCLUDE SISI WASOMAJI WAKO KWENYE STORY YAKO YA KWELI, INALETA LADHA FLANI HIVI[emoji39]

LIKE "NIKAMPITIA MAMA WA2, *NAJUA MTASHANGAA (sisi hao[emoji16]) MAGGY ALIACHA KAZI TANGU......., SEEMS LIKE ASAIV UNAIFIKIRIA REACTION YA HADHIRA YAKO UKIWA UNAANDIKA STORY, KULIKO MAENDELEO YA STORY YENYEWE ......"

5.PIA NIMEPENDA THE WAY EPISODE ZAKO ZINAVYOISHILIZIA, LAZIMA MTU UWE NA SHAUKU YAANI YA KUPATA EPISODE INAYOFATA.....NIMEKUMBUKA ENZI ZA PB EPISODE TUNAZIPATA KWA KUNYATA[emoji16]

6.NIMEPENDA UNAVYOMUHESHIMU BOSS WAKO, NA SOMETIMES UNAVYOMKUMBATIA KWA NYUMA LIKE SOMETHING FISHY IS GOING ON[emoji16]

7.NIMEPENDA THE WAY UNAANDIKA MATUKIO KWA MTIRIRIKO N MPANGILIO MZURI NA WENYE KUVUTIA


8.NIMEPENDA THE WAY UNAVYOADD CHUMVI/CHUKU KWENYE NARRATION YAKO , NILIFURAHI KUONA KISECTION FLANI KINAELEZEA KUA MZEE PAMA ULIKUA UNAMUOTA MPAKA UNAWEWESEKA USIKU[emoji16][emoji1787]

MAONI YANGU

1.KUA DIRECT KAMA ZAMANI , I MEAN ULIPOANZA KUANDIKA HII STORY (OMIT BAADHI YA MAELEZO YANABOA)...LIKE "BAADA YA KUPATA MKATABA KAMA OPERATION MANAGER NIKAFANYA KAZI KWA MUDA FLANI FLANI, IKAWA HIVI HIVI CHANGAMOTO NILIZOPATA HIZI HIZI ..."
WEWE NI MWANA UCHUMI ZINGATIA HADI UCHUMI KWENYE MAELEZO[emoji16]

NA SIO "NIKATOKA MIGOMIGO NIKAENDA POSTA KUCHUKUA ILE MIZIGO, KURUDI IRYN AKANIPIGIA, NIKAMWAMBIA BLAH BLAH....." USHAURI TU MAANA NI STORY YA KWELI HIYO ILA KUNA MUDA TUNAHITAJI MATUKIO MUHIMU ZAIDI TUJIFUNZE[emoji120]

BINAFSI NILIKUA NAPENDA UNAVYOSIMULIA MATUKIO KWA PICHA KUBWA, KULIKO UNAVYOSIMULIA KWA PICHA NDOGO (KAMA PROJECT HAPA UNASIMULIA HADI ACTIVITIES ZA HIYO PROJECT)

2.PUNGUZA CHUKU / CHUMVI

ZITAFANYA STORY YAKO YA KWELI IONEKANE SIO YA KWELI JAPO TUNAJIFUNZA

KUWEWESEKA USIKU BAADA YA MZEE PAMA KUA ANAKUTOKEA USIKU IKANIFANYA NIONE SOMETHING FISHY IS GOING ON KWENYE STORY YAKO AU KATI YAKO NA MZEE PAMA, AMBAYE MMEKUTANA TU UKUBWANI[emoji16]

3.KUWA PREDICTABLE KWENYE HII STORY YAKO YWA KWELI...TUPO WATU MPAKA LEO HATUJUI HUYO MDADA ULIYEKUTANA NAE KWENYE UBER NI NANI GOLATA,IRYN,PRISCA AU NANI NA NAJUA UNAJUA, ILA UMEICHA ISIWE PREDICTABLE MAKUSUDICALLY ILI EPISODE ZIWE NYINGI[emoji16][emoji120]

BUT NAJUA MUAJEMI KWAKO NI MJINGA NA HANA UGENIUS WA KUTAMBUA MAMBO NA LAZIMA HELA ILI AKUTUMIE , NA HATA UKITAKA KUMPIGA TENA NA TENA KWAKO INAWEZEKANA KWAKO (SEEMS LIKE MATUKIO YAKO NA MUAJEMI YAPO PREDICTABLE AT ALL)


MWISHO KABISA NIKUPONGEZE, KIJANA MWENYE BAHATI KWA KUTUBURUDISHA NA STORY YAKO YA KWELI, HII INATUPA FUNZO NA EXPERIENCE KWA MAMBO AMBAYO WENGINE HATUJAWAHI KUYASHUHUDIA AU KUYASIKIA, KONGOLE MKUU[emoji120]

NOTHING TO HOLD, NI UCHAMBUZI TU SIO CRITICISM, USIJE DHANI SOMETHING FISHY IS GOING ON[emoji16][emoji120]
 
Mwamba anaanza kukera sasa.

Kuna wa kuwapa umuhimu na kuwaacha, mbona makosa mengi sana kuelekea kikao
Hapo ndio unapata funzo kuwa binadamu tuna makosa na mapungufu mengi sana . Sema yeye kaamua kutuwekea vyote bila kuruka. Angeweka kwenye angle ya kufanikiwa tu hii story ingekuwa ya uongo na ya kutunga 100%. Kuandika makosa yako mwenyewe ndio usimuliaji mzuri
 
Kama ulienda na prisca chances za kumla ryn ni ndogo sana
Pia unaweka episode fupi sana hio ya mwisho niliexpect utafika kwenye maongezi na ryn
Anachokifanya sasa hivi ni kufanya hadithi iwe ndefu kwa kujaza vitu ambavyo havina maana.

To be honest mwanetu huku mwishoni amekuja kua fala mno. Yule kijana mpambanaji mpambania fursa mapenzi yashamvuruga anafanya mistakes daily kama Maguire.
 
Anachokifanya sasa hivi ni kufanya hadithi iwe ndefu kwa kujaza vitu ambavyo havina maana.

To be honest mwanetu huku mwishoni amekuja kua fala mno. Yule kijana mpambanaji mpambania fursa mapenzi yashamvuruga anafanya mistakes daily kama Maguire.
yani hata usimuliaji umebadilika pia, niwe mkweli tu sahivi inaboa kusoma kwakweli, hasa vipande vya prisca maongezi yanakua mareeefu yasiyona tija. Me ni fan wako lakini INSIDER MAN hili nalo pia ukalitazame
 
Purisika jiniiii mkata kamba....
Muajemi boyaaaa bogasti.....
Iryn mashauzi mengiiiiiiii........... eti kamchukua juniour na range mamaye, xaxa insider hapendwi kama juniour.
 
Anachokifanya sasa hivi ni kufanya hadithi iwe ndefu kwa kujaza vitu ambavyo havina maana.

To be honest mwanetu huku mwishoni amekuja kua fala mno. Yule kijana mpambanaji mpambania fursa mapenzi yashamvuruga anafanya mistakes daily kama Maguire.
ukitunga kama wewe sio mtunzi itafika muda lazima utaboa,
 
Ndugu mchambuzi andika story yako na wewe Kisha uzingatie hivyo ulivyovisema, usimpangie Apunguze chumvi we unajuaje km ni chumvi ulikuepo wakati hayo matukio yanatokea!?

Watu wanamind vitu vidogo. Insider kaandika stori inamhusu yeye halafu mtu anaibuka kutoa mwongozo.
Insider piga kazi vile unajua wewe, hapa hakuna maksi zinazotolewa. Tunasubiri Ijumaa kazi iendelee.
Mwenye kuona mapungufu aandike yake au atoe remix
 
Mzee kila mpishi na pishi lake ndio utofauti unapo anzia. Ukitaka kila wapishi wote wafanane kutakua hamna radha tofauti za vyakula. Mwingine anajua asipo weka chumvi ndio walaji wake watapenda, mwingine akiweka kawaida ndio walaji wanapenda mwingine akizidisha chumvi ndio walaji wanafurahia.


So acha hizo
 
Kweli haupendi kubishana na mwanamke ila si kwa ulipofikia unaruhusu Prisca kuyajua madhaifu yako unampa point 3 muhimu, my guess prisca namuona anakuja kuwa kirusi kwa bwana mkubwa.
 
Hii ndio mistake nyingine unafanya mwanamke kukutikisa kidogo ushatikisika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…