Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tupo pamoja
 
Anachokifanya sasa hivi ni kufanya hadithi iwe ndefu kwa kujaza vitu ambavyo havina maana.

To be honest mwanetu huku mwishoni amekuja kua fala mno. Yule kijana mpambanaji mpambania fursa mapenzi yashamvuruga anafanya mistakes daily kama Maguire.

Kama unaboreka kuna Ignore button simple tu.

Tambua hii sio story ya kutunga ni matukio yaliyonitokea hizo dialogue lazima ziwepo.

Hadithi ya singanojr itakufaa zaidi,
 
mkuu una ngeli tamu hvo halafu uaamini kuwa huu utunzi ni mambo ya kwel? unaniangusha mkuu wangu
 
Mi namuonea tu huruma dada wa watu Iryn na sijui kwanini kila mtu humu anamuona kama alikuwa anakosea sijui kisirani, mtu ambae hana ndugu wala rafiki zaidi ya mama Janeth akampata insider akamuamini na kumpenda kwa moyo wake wote akaamua kumfanya mtu wake wa karibu kabisa kama ndugu sijui pengine ndo hivyo labda alikuwa na hisia nae za mapenzi sina uhakika sana, maana kwa ninavyojua mwanamke amtake mwanaume kabisa na jinsi walivyokuwa close kulikuwa hamna cha kumzuia wala Insider sio kwamba alikuwa hamtaki bali alikuwa tu anashindwa jinsi ya kumuingia kwa kifupi alikuwa anamuogopa, kinyume chake akaona bora hata apate hela kupitia yeye bila kujiuliza kama Iryn atagundua itakuwaje
Hivi mlitegemea Iryn areact vipi kwa huyu mtu ambae alimthamini sana lakini yeye hakumrudishia hata nusu ya thamani ya utu wake, yaani kwamba anaweza kuchukua hela kwa Muajemi ili Iryn aliwe akititokea Muitaly nae akatoa hela atampeleka na huko pia, jarìbuni kuvaa viatu vyake muone kama haviumi
Dada wa watu alijaribu angalau alijua amepata familia hapa na ndio maana mara ya mwisho alienda kuishi nao lakini aliambulia usaliti mkubwa ingawa pia insider hakuwa na nia mbaya wala hakumfikiria kwamba ni malaya ila sasa Muajemi jinsi alivyojieleza na kumbuka Insider alikuwa msiri anaficha mambo mengi na hata mara ya mwisho alivyopewa hela aliona na akamuuliza akamdanganya. Wakati mwingine sio hela ni kila kitu unaweza kupata hela sawa na ukapoteza kitu chenye thamani kuliko hiyo hela uliyopata INSIDER MAN
 
yani hata usimuliaji umebadilika pia, niwe mkweli tu sahivi inaboa kusoma kwakweli, hasa vipande vya prisca maongezi yanakua mareeefu yasiyona tija. Me ni fan wako lakini INSIDER MAN hili nalo pia ukalitazame
Toa story yako kenge wewe.. Hii ni story ya Insider wala haikuhusu chochote, usijikute we ndo director wa story za maisha ya watu ambao hata huwajui.. Hata akiamua kuirefusha vipi wewe tulia..
Ikikushinda kabisa acha kusoma au subiri amalize story yake uongee nae uje uifix jinsi unavyotaka wewe halafu utuletee remix ya hio story.. Ila sa ivi tuliza pumbu izo kenge wewe
 
upo sahihi mkuu,, lakini sikuwa na maana mbaya kama unavodhani isome komenti vizuri utanielewa,sikuwahi kwenda kinyume nae,jaribu kufuatilia kote nilipopita humu....
Remark
 
Ukikua utaacha lugha za kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…