Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mambo ya kuchanganya kazi na mapenzi sioo kabisa!! . Mapenzi yanaharibu kazi!
Better be friends kazi ziendelee kuliko hizo drama za malovee!
 
Kama unaboreka kuna Ignore button simple tu.

Tambua hii sio story ya kutunga ni matukio yaliyonitokea hizo dialogue lazima ziwepo.

Hadithi ya singanojr itakufaa zaidi,
Mkuu hata usimind hii sio kwako tu ni kwa story yoyote ile hata huko Hollywood kwenyewe kuna muda wanaweka baadhi ya scenes ambazo hazina hata umuhimu ili mradi tu story iwe ndefu. Don't take it personal ilikua ni kuclarify observation ya mchangiaji aliyepita.
 
Chimbo bado,kumbe umejificha huku😍
Hapanaa kipenzi chimbo badooo😁😁! huku naibukia mara moja moja tu kuwasabahi wapendwa!!
Ukipata tushtuaneee kuna moja niliona tumetagiwa huko naona limekaaa tenge sanaa nimeishia kulike tu huyooo!!
 
ebu Antonnia tufanye ww ndio iryn afu mm ni INSIDER MAN njoo unifanyie massage saa hii uone kama ntaikataa hiyo ofa
Thubutuuuu Mimi niwe Iryn nitambe!
Mkuu mapenzi na kazi mi hapana aseee lazima tu itafika sehemu tutavuruga Hivi vitu kuvichanganya hapana kabisa!

Hio massage naijua sasa mweh SijuiiiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ!
 
Thubutuuuu Mimi niwe Iryn nitambe!
Mkuu mapenzi na kazi mi hapana aseee lazima tu itafika sehemu tutavuruga Hivi vitu kuvichanganya hapana kabisa!

Hio massage naijua sasa mweh SijuiiiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ!
ww njoo unifanyie tuu ata kama ukiwa unanifinya sawa tuu ili mradi tuwe wa2 chumbaniπŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£
 
Hapa NIDHAMU ni muflisi kwako ndugu INSIDER MAN. Ungekuwa umepita JKT usingejipangia siku na saa ya kikao na BOSSYLADY Irene.

Hata kama kuna quarrel na bosi zisizohusiana na kazi, hiyo haikupi nafasi ya kuwa unprofessional na kum toss boss huku na kule. Ni sawa kuuchochea moto unaowaka badala ya kuuacha ujifie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…