Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

As far as tunaburudika haina shida bro
 
mbona kama anatafuta mke😂😂
 
Wadada changamkieni fursa hiyo ajira sahivi zimekuwa ngumu kupata
Ila mkuu hivi unaweza vipi kupima hospitality experience??? Imenichanganya kidogo apo
 
Kwani kuna mtu kawauliza hii ni story ya aina gani.....? Au katika wote wewe ndio unasoma hicho kitabu sidney....? Ndugu yangu acha ujinga na shobo kam hutaki sepa hujaitwa kwenye huu uzi na hakuna alie kulazimisha kusoma
 
TISS data:

Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata

Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.

Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.

Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…