Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Umekwama sana. Kwamba Jane ndio Vick?. Mbona hata haviendani kabisa na maelezo. Maana Vicky kwa vyovyote angetambulishwa kwa namna nyingine,tofauti na Jane
 
Mwandishi anaweza kuongeza mambo kupindisha
Sio kupindisha kwa ukubwa huo. Mfanano mliouona nyie ni mdogo sana kuliko. Ksbb tu Vick ana nyumba mbweni ni hilo tu. Ambacho hamjakiona mke mwenza na Vick alifariki kabla ya mumewe na mke wa Pama yupo hai ambaye ni mke mwenza na Jane. Hamuuoni utofauti mkubwa sana hapo?. Hata msimuliaji hawezi kupindisha swala kubwa sana la mtu kuwa hai amfanye mfu na mfu amfanye hai kwenye usimuliaji. Hicho ni kitu kikubwa haiwezekani
 
“Insider Mzee Pama amefariki leo jioni”

“What? amefariki? mbona sikuelewi Jane….”

Na jane alianza kulia sana muda huu, Mimi mwenyewe nilijikuta naanza kukosa nguvu maana nilikuwa naona kama ndoto hivi.
Hii ndio inaitwa ng'ombe wa masikini hazai Jane ndo kwanza anaanza ifaidi life mzee kavuta nawe ahadi ya connection to work abroad ndio basi tena
 
Hadithi yako inatufundisha nini sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…