Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tuliosoma story za sidney sheldom tunajua insider anachokifanya lakn kama sio mpenz wa kusoma huwez jua hata kidgo mbinu za muandishi hii story niyakufirika 100% kama hutaki na unabisha sawa hakuna shida ni mtizamo wako tuh. Muandishi anakumbua kila kitu kilichotokea mwez may miaka m3 iliyopita sawa[emoji23][emoji1373] hata phil knight wanamsifu kwa kukumbuka matukio meng lakn ukisoma kitabu chake cha shoe dog ni mwengi huadithia in general.. ila kwasababu watu wengi sio wasomi bas wamaweza kufiri kdg na kusema n story ya kwel but for me ni story ya kufikirika 100%
Kiujumla story ni nzuri sana tu inaburudisha.

Sema nawasifu baadhi ya wasimuliaji wa hapa JF akiwemo huyu kwa uwezo wao wa kumbukumbu hasa - majina ya siku,
  • muda uliotumika toka sehemu moja kwenda nyingine.
  • Kufika sehemu au kupokea simu saa flani na dkk flani.
  • Muda uliotumika kumsubiri mtu na muda wa kuondoka maeneo tofauti tofauti na siku tofauti tofauti - Kiasi cha fedha ndogo ndogo anazotoa au kupokea.
  • Maongezi ya kwy simu neno kwa neno,
  • matukio ya kila siku toka jtatu hadi jpili kwa wiki nzima

Naamini watakua wana andika kwy diary na si vinginevyo hata kama walilishwa sana vichwa vya samaki utotoni. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kila thread lazima usome, zingine ziache zipite tu kushoto zina watu wake.
Mkuu unataka kunipangia cha kufanya?? Simu/computer ni yako? Bundle umeninunulia wewe, we ndo ulinipeleka shule nikajua kusoma na kuandika, ako na shida na mm?
 
Kiujumla story ni nzuri sana tu inaburudisha.

Sema nawasifu baadhi ya wasimuliaji wa hapa JF akiwemo huyu kwa uwezo wao wa kumbukumbu hasa - majina ya siku,
  • muda uliotumika toka sehemu moja kwenda nyingine.
  • Kufika sehemu au kupokea simu saa flani na dkk flani.
  • Muda uliotumika kumsubiri mtu na muda wa kuondoka maeneo tofauti tofauti na siku tofauti tofauti - Kiasi cha fedha ndogo ndogo anazotoa au kupokea.
  • Maongezi ya kwy simu neno kwa neno,
  • matukio ya kila siku toka jtatu hadi jpili kwa wiki nzima

Naamini watakua wana andika kwy diary na si vinginevyo hata kama walilishwa sana vichwa vya samaki utotoni. [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani sasa wanavyokumaa na kuiita TRUE STORY. Daah nashindwa kuelewa labda muandishi alizaliwa na memory card ila kwa ubongo wa mwanadamu hakuna anayekumbuka kila kitu kwa miez 3 tu nyuma ila mwamba yupo full detail ya miaka m3 nyuma.. story ni nzuri sana ila ni myth hakuna ukwel wwte tuendelee tu na burudani [emoji23]
 
KAMA NI MYTHS MBONA MNAIFUATILIA SI MUACHANE NAYO TUU, NYUZI ZIKO KIBAO SIO LAZINA HUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom