Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

TISS data:

Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata

Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.

Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.

Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
Miaka itakua inakinzana sasa maana Insider anadai matukio mengi ya hii stori yametokea mwaka jana na mwaka huu. Huyo uliyemtaja kafariki 2021 tayari hakuna ulinganifu wa nyakati, hivyo basi bado inaonesha kwenye upande wa data protection bwana Insider amefaulu sana maana mpaka sasa hakuna aliyeweza kudecode ukweli wa wahusika waliosimuliwa kwenye stori yake.
 
Hujajibu nilichokuuliza maana swali lipo direct kwa kulinganisha stori na uhalisia.. Je Vicky kamata mpaka mwaka 2021 hakuwahi kumiliki wala kujifunza kuendesha gari? Halafu Kwa mujibu wa insider mzee pama alizikwa huko Tabora, je huyo Mume wa Vicky alizikwa wap?
Na kwa uwezo na status yake kweli ni wa kuwa excited kuzawadiwa gari aina ya Dualis?
 
Kipi kimekufanya huamini ivyo.. Taarifa zinasema mke wa kwanza wa mzee likwalile alifariki mwaka 2014 lakini kwenye stori ya insider zinasema mke wake halali wa mzee pama alikuepo wakati wa msiba na alimwita insider kujua sababu za kingiziwa milion sita kabla ya kifo cha mzee Pama..
Mimi naona mwaka inaofanan wa vifo vyao ndo vimewachanganya

2014!!!?
 
Kuwa mpole n maamuzi yake, kwan story n yake. Kama unaona kuchukizwa acha kusoma. Tuliambiwa hivyo mkuu. Subiria
Huyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila
 
Back
Top Bottom