Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

KAMA NI MYTHS MBONA MNAIFUATILIA SI MUACHANE NAYO TUU, NYUZI ZIKO KIBAO SIO LAZINA HUU

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu mwehu sijui anamelisha nini na mwandishi[emoji23] kila kitu unapinga kama kiazi vile? Watu tunasoma story za kina charles na ni myth ili tuenjoy sio kulazimishwa story ni ya kwel hapo ndio mnapozingua
 
Yaani sasa wanavyokumaa na kuiita TRUE STORY. Daah nashindwa kuelewa labda muandishi alizaliwa na memory card ila kwa ubongo wa mwanadamu hakuna anayekumbuka kila kitu kwa miez 3 tu nyuma ila mwamba yupo full detail ya miaka m3 nyuma.. story ni nzuri sana ila ni myth hakuna ukwel wwte tuendelee tu na burudani [emoji23]
Mwamba anakumbuka conversion had mavazi waliyovaa atengwe😂
 
Najiuliza tu wakati ndugu muandishi anatuletea huu uzi from beginning alipanga iwe isidingo au huu mlolongo na kuweka mpaka ratiba ya weekly imekuja baada ya fans kuwa wengi au la? Ni kweli uzi tumeupenda wenyewe lakini haya yamekuwa mateso sasa, uzi ushageuka kama tamthilia ya isidingo, ebo! Au unapenda hivi watu wanavyo kumention humu kila muda kila dakika? Ushauri wangu kwa ndugu muandishi ni kweli tunafahamu upo busy kama kila mtu humu lakini nina uhakika toka unaanza huu uzi ulikuwa unajua kama upo busy, so ikikupendeza fanya hima utuwekee uzi wote kadri utavyoweza ili tuumalize, nina uwakika ni wengi humu hawapendezwi na huu utaratibu wa wiki mpaka wiki mbona wakati unaanza ulianza kwa speed nzuri tu? Kipi kimekukumba ndugu? Nawasilisha, NB: Atakayeleta makasiriko aje vizuri, leo muda ninao na mood ya kutosha.
 
OPPORTUNITY[emoji95]

URGENT WE ARE HIRING,

POSITION: Operation Manager (1)

LOCATION: Dar es Salaam

INDUSTRY: Hospitality

EXPERIENCE: Atleast 2yrs

QUALIFICATIONS: Holder of a Bachelor/Diploma of Business Administration.

AGE : Not more than 27 Years

REQUIREMENTS
1. Excellent Communication skills and proven customer service experience.

2. Proficiency in basic computer applications

3. A female with Good Physical Appearance.

4. Leadership & Decision making skills.

Email your CV only, businessinsiderco@gmail.com

DEADLINE: 23/09/2023
Hii namba tatu 3 imekua bolded kabsa.. binti inabidi awe kama Irene kabsa eeh
 
Yaani sasa wanavyokumaa na kuiita TRUE STORY. Daah nashindwa kuelewa labda muandishi alizaliwa na memory card ila kwa ubongo wa mwanadamu hakuna anayekumbuka kila kitu kwa miez 3 tu nyuma ila mwamba yupo full detail ya miaka m3 nyuma.. story ni nzuri sana ila ni myth hakuna ukwel wwte tuendelee tu na burudani [emoji23]

Bila shaka nyinyi ndo wale wenye F za namba na IQ zenu ndogo sana. Hivi unaanzaje kusahau matukio muhimu tena ya mwakajana? Kwa ulimwengu huu wa sasa ambao tuna simu mtu anapiga picha.

Hapo ukinambia baadhi ya vitu anaongezea nitaungana mkono na wewe kama mazungumzo mengi waandishi wanaongezea ili kufanya story ivutie.

Suala la muda kwa mtu wa Uber ni kawaida maana anajua muda wa kutoka posta mpaka Airport ni kawaida sana kwa mtu anayeishi Dar na mwenye gari.

Hata mimi kuna matukio kibao nayakumbuka hapa hasa ya utotoni, kama unayasahau matukio hata ya miezi 3 kurudi nyuma wewe kichwa chako kinahitaji kusafishwa ubongo hakina utofauti na kusema unafugia nywele.
 
Wee jamaa ni Fala sana haya tuambie tar 4 january mwaka huu siku ilianzaje na ilishaje? Full details
 
Back
Top Bottom