Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka itakua inakinzana sasa maana Insider anadai matukio mengi ya hii stori yametokea mwaka jana na mwaka huu. Huyo uliyemtaja kafariki 2021 tayari hakuna ulinganifu wa nyakati, hivyo basi bado inaonesha kwenye upande wa data protection bwana Insider amefaulu sana maana mpaka sasa hakuna aliyeweza kudecode ukweli wa wahusika waliosimuliwa kwenye stori yake.TISS data:
Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata
Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.
Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.
Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
Na kwa uwezo na status yake kweli ni wa kuwa excited kuzawadiwa gari aina ya Dualis?Hujajibu nilichokuuliza maana swali lipo direct kwa kulinganisha stori na uhalisia.. Je Vicky kamata mpaka mwaka 2021 hakuwahi kumiliki wala kujifunza kuendesha gari? Halafu Kwa mujibu wa insider mzee pama alizikwa huko Tabora, je huyo Mume wa Vicky alizikwa wap?
Tayari, tena ilipambwa kabisa kwa maua.Hivi Jane alishapewa dualis yake?
Ulikvwepo wakati anakabidhiwa?Tayari, tena ilipambwa kabisa kwa maua.
hata huo muda itakuwa wola, we lala tu maana hamna namna
sabato imeshaanza kitambo. unafanya nn hapa?Leta uzi baada ya sabato kesho mkuu
Kipi kimekufanya huamini ivyo.. Taarifa zinasema mke wa kwanza wa mzee likwalile alifariki mwaka 2014 lakini kwenye stori ya insider zinasema mke wake halali wa mzee pama alikuepo wakati wa msiba na alimwita insider kujua sababu za kingiziwa milion sita kabla ya kifo cha mzee Pama..
Mimi naona mwaka inaofanan wa vifo vyao ndo vimewachanganya
MKUU ILA SIKU BADO HAIJAISHA UJUE BORA TUMHUKUMU SIKU YA LEO IKIISHA HUWENDA KATINGWA ILA MCHONGO NAAMINI ATAUWEKA LEO WAKUTOSHA TUU TUWE NA SUBRAHuyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila
Huyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila
Unamlipa shngap?Huyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila
tulimuomba alete, si kiherehere chake, hata hvo bundle tunalipa kodi.Unamlipa shngap?
Kwa hizi akili ndo mnategemea katiba mpya [emoji706]Huyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila
Ushawai kula Ban ukitumia JF we endelea tunakuzoom tu .....Watu million hawalalamiki ww unabwabwaja tu kama unaumia pita kushotoHuyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila