Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Miaka itakua inakinzana sasa maana Insider anadai matukio mengi ya hii stori yametokea mwaka jana na mwaka huu. Huyo uliyemtaja kafariki 2021 tayari hakuna ulinganifu wa nyakati, hivyo basi bado inaonesha kwenye upande wa data protection bwana Insider amefaulu sana maana mpaka sasa hakuna aliyeweza kudecode ukweli wa wahusika waliosimuliwa kwenye stori yake.
 
Na kwa uwezo na status yake kweli ni wa kuwa excited kuzawadiwa gari aina ya Dualis?
 

2014!!!?
 
Kuwa mpole n maamuzi yake, kwan story n yake. Kama unaona kuchukizwa acha kusoma. Tuliambiwa hivyo mkuu. Subiria
Huyu jamaa anajikuta sana na hii story yake, yaani wanaume na wanawake kuanzia jpili wanatamani ijumaa itafika lini, halafu mpaka muda huu bila bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…