Aisee mzee baba ujue sikuelewagi kabisa we unacoment nukta tu alafu unapita hivi daaa!
mnafahamiana, mnashindwa kusimuliana hadithi huko mpaka aje kusoma hapa, mnashindwa kupeana mawasiliano mpaka mje kuitana huku, maajabu hayatakaa yaishe chni ya mbinguDr niko Dodoma upo available?
Madam episode 56 ipo tayariKwa ukimya huu
Labda Mama mtoto kamkamata na maovu yake
Au kagundua mtoto wa Prisca sio wake bali wa jamaa yule aliyekuwa anamtibua.. si Mary alifikiri ni yeye anakuwa nae [emoji28][emoji28][emoji28]
Enhee na vipi uwezo wako unaendana na hayo?[emoji28][emoji1787][emoji1787] mzee umenikumbusha mbali sana. mzee wangu alikuwa ananiambia nikila vichwa ntakuwa na akili, so akifa bata au kuku au samaki changu kichwa dah.
sipitwi saivimshamba_hachekwi umekamatwa kwenye huu uzi 😀
karibu ulimwengu wa arostosipitwi saivi
😀😀😀😀😀Mkuu unataka kunipangia cha kufanya?? Simu/computer ni yako? Bundle umeninunulia wewe, we ndo ulinipeleka shule nikajua kusoma na kuandika, ako na shida na mm?