Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Dah! Maskini Prisca, mimba ishatoka sijui kama atakuwa na kizazi tena
 
Kaka sasa fanya hivi mwisho wa story chagua moja either unipe namba ya Marry au Iryn pia Bweni kwa Jane tutakuwa tunakwenda wote kumsalimia
 
Ila hii story jamani hapana, yaani mtu mmoja mirija ya hela inatiririka kwake tuu muda wote khaa
Yaani inatufanya mpaka wengine tujione hatuna bahati au sijui hatuna akili ya kutafuta hela
Marafiki zako ndio wanapelekea hivo ulivo
 
PRISCA: “Honey tunafanyaje sasa maana njia ya mtoto itaziba pia, tumuage da Mary afu tutamrudia.”

Mh? Kasemaje hatiii??
 
Mwamba hapa hatorudia tena kucheza bila jezi kipindi Prisca akiwa danger Thou minyanduo itakuwa kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…