Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Kusema ukwel mim sio mpenz wa kureply story ila katika hii story mtu ninae mkubali kuliko wote ni prisca sasa kama kafariki ntahuzunika sana kwakweli
 

Mi nakushauri usiifuatilie wala kuisoma
Achana nayo tu
 
Prisca "hakufwi", ni ujauzito unatoka huo. Na ndio mwisho wa penzi la "nice guy" na Prisca utaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…