Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kivumbi leo "Tuishi nao kwa akili "
 
litakufa jitu kama namwona iryn😀😀
 
Iryn bwana....anasisitiza kila mara kuwa "kila mtu akomae na maisha yake binafsi" ila kutwa kucha kujishughulisha na mshkaji.
Akomae na Range yake maana ki ist ndio kilikua kinawaweka karibu..sasa yeye anajiendesha huo ukaribu utatoka wapi?.
 
😂Mbona unanikimhuaga hunipi taarifa sikuelewi elewi sikuhiz unachenga chenga kama iryn
Lol Mie juzikati sikuingia kabisa niliishiaga sijui episode 54 nadhani...Nikiwepo naachaje kukuita rafikiii yani hata nipoishia sikumbuki vizuri! Naombapo samareee nipate mwelekeo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…