zero to hero 199
Member
- Sep 8, 2021
- 55
- 78
bonge moja la story mwandishi unajua sana kiukweli umenifanya niipende JF
Asante Sana kwa kunishtua mkuuWabheja sana sis yaniii sijui niliishiaga wapi hata!! Ngoja nipatafute!
Forget and forgive.........yashapita ila nado una kinyongoYalisha pita ni kweli ila sitochoka kuwakumbusha watu kuwa watu wa humu ni wanaroho mbaya hatari wanaweza kukuharibia bila hata sababu so watu wema wawe makini sana kuna watu humu wanamaisha magumu wanacho fikiri ni kuwaharibia wenye maisha mazuri ili wote wawe na maisha magumu kama wao
[emoji3][emoji3][emoji3]INSIDER MAN upo Dodoma sehem gan nije unisimulie kipande kilichobaki, isije kuwa kila baada ya masaa mawili nachungulia huku, kumbe tupo mitaa jirani tu
Jamaa wa kituoKituo.
Yah mawazo sawa na mie...Hivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza
Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.
Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
Hata mimi nilikuwa nawaza kama wewe mkuuHivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza
Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.
Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
Acha kuharibu mrembo wengi tumeiamini ni kweli Kama we unaona ya uongo Tunga na wewe toka mwanzo alikwambia atadeal na wale muhimu akielezea wote si Jf itajaa?Ni story nzuri liyojaa uongo nashangaa mtunzi anaiita true story. Kuna gap nyingi haswa yeye kukutana sana na abiria wa kike na wote wakamshobokea...zile trip za kupeleka abiria private posta...pesa zinavyotiririka upande wake nk
Otherwise ni mtunzi mzuri
Asante sana aisee, sijui anaachikaje huyu Piriii, ameingia kwenye huruma zone [emoji1787]Kigi Makasi njoo tumuonee prisca huruma [emoji24]
ipo siku atambaka insider huyo mamaIryn anatushia kujamba wakati anaharisha....!!
Unahasira na boss lady mi namuhurumia maana anateseka nafsi inamuuma.Hebu Atulize kiharage Wafanye kaziii... ye ajichanganye kumix Kazi na Mapenzi tu limkute la kumkuta Shauri yake!
Watu Kama nyie mnaboaa Sana Sasa Kama huamini si iache utuachie tunaoamini?Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,
hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.
Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....
hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....
mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....
Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Na wewe fatilia wapi kasema alinunua yeye mnaboaTutaaminije kama ulinunua wewe mwenyewe je?
Tena washamba wanadhaninwote ni Peche aloloAchana kubishana na watu ambao hawako exposed na maisha