INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #6,661
Naandika hii story kwa shida sana ukiangalia hiyo calendar juu huwezi kuelewa ila ndo matukio yenyewe. Ukiona nakuambia ilikuwa ni siku gani tukio limetokea bhasi elewa huwa narudi kwenye calendar kurecall, na matukio mengi nilikuwa nayaandika kwenye simu.(Code zote nitafungua mwisho wa story)
Nashangaa sana kuona watu JF wana Negative Perceptions na nimegundua humu ndani wengi wako desperate na maisha hawana exposure yoyote ya maisha.
Mimi nilivyo na mambo mengi nipoteze Muda kwa kuandika fiction story? Sina muda wa kupoteza asee hata hii story naandika sababu naamini kuna watu wanajifunza.
Nilisema ningeishia na Epsode ya 30 lakini kutokana na utitiri wa matukio, msinge elewa na ningepata tabu sana kuwalezea mwishoni.
Sijawahi kuwaandikia kuhusu kukutana na Celebrities lakini nimefanya nao kazi wengi sana hasa hawa wakike tena wale maarufu wengi ni washikaji zangu mpaka sasa. Kwa upande wa kiume wengi ni machoko asee hasa hawa presenters [emoji1544][emoji1544], Mungu atusaidie presenters wengi maarufu hawana malinda asee.
Ndugu zangu navyo waambia story nawapa kila weekend muwe waelewa maana kuandika life story sio kitu rahisi, matukio mengi sana huwa nina yaruka na mengine huwa nafuta.
Nikiandika episode lazima niipitie tena kuna vitu vingine huwa nafuta, good news nimeshaandika Epsode zote za kumaliza hii story tatizo ni muda wa kuzipitia tu.
Kwasasa niko busy sana maana kuna Projects zangu naziweka sawa na mwezi ujao nitaanza Masters.
Kwa msilolijua hii story nilipanga kuwaletea toka muda mrefu ila nilikuwa naona uvivu kuiandika na nilianza kuiandika April mwaka huu, July ndo nilianza kuipost.
Na hii ni comment yangu kama ushahidi, kuna ndugu aliuliza kuhusu hii biashara na watu walinisumbua sana PM kuhusu maelezo ya hii biashara ndo nikaamua kuleta huu uzi,