Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ni story nzuri liyojaa uongo nashangaa mtunzi anaiita true story. Kuna gap nyingi haswa yeye kukutana sana na abiria wa kike na wote wakamshobokea...zile trip za kupeleka abiria private posta...pesa zinavyotiririka upande wake nk

Otherwise ni mtunzi mzuri
Acha kuharibu mrembo wengi tumeiamini ni kweli Kama we unaona ya uongo Tunga na wewe toka mwanzo alikwambia atadeal na wale muhimu akielezea wote si Jf itajaa?
 
Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,

hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.

Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....

hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....

mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....

Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Watu Kama nyie mnaboaa Sana Sasa Kama huamini si iache utuachie tunaoamini?
 
Hivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza

Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.

Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
Brqza sijui Dada achana na mambo usiyoyapenda huna Sababu kutia nuksi kwenye msosi wa wenzio.

Ukiona kitu kinakukera kausha sepa PITA KULE [emoji117]
 
Hivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza

Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.

Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
We kausha Unawahi Wapi ?
Mbona yakujifunza still ni Mengi mpaka Sasa ?
 
Mimi sijui wamepewa nini na muandishi sijui kwa kweli? Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kukumbuka matukia kama anavyojinadi muandishi. Hii ni FRICTION nyeupe kabisa kikubwa tupate tuh burudani mimi tangu eps ya 20 huko niliona ni friction kabisa maana kila kitu kinasisimua jamba ambalo kwenye maisha yakawaida halipo kabisa
Watu mbona mnakaza mafuvu sana, kwan c alisema anazungumzia matukio muhimu yanayoendana na hii story tu

Au wapi kasema anaandika kila kitu cha kwenye maisha yake ??

Pia kama kichwa chako ni cha panzi usitake kila mtu awe na kichwa cha panzi kama wewe
 
Mimi sijui wamepewa nini na muandishi sijui kwa kweli? Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kukumbuka matukia kama anavyojinadi muandishi. Hii ni FRICTION nyeupe kabisa kikubwa tupate tuh burudani mimi tangu eps ya 20 huko niliona ni friction kabisa maana kila kitu kinasisimua jamba ambalo kwenye maisha yakawaida halipo kabisa
Friction ??? 😵😱
 
Kidogo najiskia vizuri saiv, kibao kimegeuka Irny ndo utaanza kumtafuta Insider, Insider wakupe Konyagi ndogo.
 
Mimi sijui wamepewa nini na muandishi sijui kwa kweli? Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kukumbuka matukia kama anavyojinadi muandishi. Hii ni FRICTION nyeupe kabisa kikubwa tupate tuh burudani mimi tangu eps ya 20 huko niliona ni friction kabisa maana kila kitu kinasisimua jamba ambalo kwenye maisha yakawaida halipo kabisa

Weka grease iteleze hyo friction itoke[emoji23]
 
Back
Top Bottom