Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,
hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.
Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....
hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....
mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....
Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hunaga gundu kabisa yaani.