255Clatus Chama
Member
- Sep 20, 2023
- 56
- 72
Yaniiii... usupastaa wake wakushobokewa na wanaume apelekeee huko hukooo kwahao anaowasumbua kakutana na chuma cha mjerumani hana mudaaaa wa kubembelezaa!Anajikuta sukari muache ajilambe
Hapo silaha atakayotumia ni kumshtaki kwa mama JYaniiii... uaupastaa wake wabkushobokewa na wanaume apelekeee huko hukooo kwahao anaowasumbua kakutana na chuma cha mjerumani hana mudaaaa wa kubembelezaa!
Sana yaniii.... ... Hapo ndio upendo wa kweli wa so called Insider kwa Prisca tutauona sasa!Very painful aise
Hapo juu naona kasema tu kuwa itaendelea hajasema lini ila kwa timetable alotuzoesha ni ijumaa na jumapili japo sometimes anatupia kama Hivi leo Monday kapost hio episode 58!Ndugu....Msimuliaji lini ataendeleza tena story? Au kuna time table ya story alishawahi kupost
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Hebu Atulize kiharage Wafanye kaziii... ye ajichanganye kumix Kazi na Mapenzi tu limkute la kumkuta Shauri yake!Hapo silaha atakayotumia ni kumshtaki kwa mama J
Bossy unatakiwa kuwa na heshima na ndoa za watu hana namnaIryn anamwelewa sana mwamba anajifanya jeuri kuadmit hilo tu! Hadi anaona Wivu insider kucheka au kupiga Story na subordinates wake Ngoja tusubirie siku atayosasambuliwa hadi mifupa π!
Mzee watu wa humu jf wanachuki sana mimi imenitokea kwa vitendo na wakati huo sijawahi watukana au kuwakosea...yaani just kwa love tu nikawaletea story na kitu kibaya nikaleta na screenshots kama kuwaaminisha kitu ni kweli bana weeee .....acha tuWatu wengi wana stress na hate sana, if something didnt happen or cant happen to them, they claim it not to be true...Dont hate be inspired...watu wengi wana mioyo ya chuki
We naweeee si yalishapita..wasamehe bwanaMzee watu wa humu jf wanachuki sana mimi imenitokea kwa vitendo na wakati huo sijawahi watukana au kuwakosea...yaani just kwa love tu nikawaletea story na kitu kibaya nikaleta na screenshots kama kuwaaminisha kitu ni kweli bana weeee .....acha tu
Ndoivo wafanye kazi aache kutumia sana hisia !Bossy unatakiwa kuwa na heshima na ndoa za watu hana namna
Kwani kulitokea nini tena cousin!!!??We naweeee si yalishapita..wasamehe bwana
Ulipitwa kwani πππ wazee wa kimasihara walimchukulia demu wake ππππKwani kulitokea nini tena cousin!!!??
Lol hio ilinipita cousin!!Ulipitwa kwani πππ wazee wa kimasihara walimchukulia demu wake ππππ
Ilikuwa ntitiiiLol hio ilinipita cousin!!
khakhakhaaaa.. Maisha lazima yaendeleee no way ni mapito tu akaze butiIlikuwa ntitiii