Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa mstari muhimu sana kwenye story nzimashemeji ndyo napitia hapa mstari kwa mstari, ila hapo kwenye kubadilishana lita ainh nmesoma mara nne[emoji39][emoji39][emoji39]
Leo mwamba ametisha sana.....bado kidogo tu atawafurahisha watu wa rikiboy 👌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa mstari muhimu sana kwenye story nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] soon ataliwa kimasihara , ndo maana amesema kuwa story inakaribia mwishoLeo mwamba ametisha sana.....bado kidogo tu atawafurahisha watu wa rikiboy [emoji108]
unaufala wewe [emoji38][emoji38][emoji38],ila hilo gari lililowamulika limenikera sana,nilitamani hate amtachi tachi kadogoshemeji ndyo napitia hapa mstari kwa mstari, ila hapo kwenye kubadilishana lita ainh nmesoma mara nne[emoji39][emoji39][emoji39]
angekuta iryn amelowa mpaka kwenye jeans kwa nje 🫣 hivi nawaza nnunaufala wewe [emoji38][emoji38][emoji38],ila hilo gari lililowamulika limenikera sana,nilitamani hate amtachi tachi kadogo
yaani limewakatiza utamu ilitakiwa Insider apite hata lita mbili hadi Iryn alowe chapachapa 😆 😆 😆 😆 😆unaufala wewe [emoji38][emoji38][emoji38],ila hilo gari lililowamulika limenikera sana,nilitamani hate amtachi tachi kadogo
Hivi Kuna mtu kakulazisha kusoma huu Uzi inakuwaje mpenzi jamani wanaume hizi ni.athari za kumwacha mtu ghafra sasa huyu kaachwa stress ndo anazimalizia hapa muwe mnatoa taarifaMimi sina shida bwana unikomee nuksi wewe mie nimeongea ukweli
Insider ni indecisive, yaani sababu za kumwacha Prisca zimeshapatikana bado anajikalisha, wakati alishaonywa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Dada kaachwa Ana stressPita vile kama unaona unachokisoma ukielewi
Mi nashangaa mnateseka Nini wakati story ni ya uongo SI ufanye yako ukuze kipato chako unateseka bure
Napingana na ww .....Kiuhalisia by connecting the dots inaonekana ndoa ya mzee baba na mama J ilishakufa. Tusubiri nani aliivunja kati ya Prisca na Iryn. Ila maneno ya mama kwenye tafsiri ya ndoto yalitimia.
Kwa sasa acha nibaki naisoma kama story zingine.
Uko sahihi mkuu kwa sasa jamaa afanye amalize tu story… anaweza ku cut it short akateambia tu mwisho ilikuaje basi… Mfano niligraduate masters… nna kazi kampuni x… Prisca tuliachana… Irene yuko masomoni… Nawaza tu lakini
Acha wivu na haujalazimishwa kumsoma.Hivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza
Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.
Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
hao hawajui kula na kipofu unless mchepuko mwenyewe asiwe mtoaji wa pesa na caring, ila kama Insider alijitahidi sana kumjali Prisca ila sasa Prisca anakosa adabu
Kiuhalisia by connecting the dots inaonekana ndoa ya mzee baba na mama J ilishakufa. Tusubiri nani aliivunja kati ya Prisca na Iryn. Ila maneno ya mama kwenye tafsiri ya ndoto yalitimia.
Kwa sasa acha nibaki naisoma kama story zingine.