Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER akimmega tu Iryn nina uhakika huku watu wataweka sherehe. ..![emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Watu wanatamani hata washuhudie live game linavuolimwa siku hiyo. Wanatamani wawe wanampanga kabisa hapo sasa mkunje. Eeeh...! Izamishe,ichomoe.
 
Kiuhalisia by connecting the dots inaonekana ndoa ya mzee baba na mama J ilishakufa. Tusubiri nani aliivunja kati ya Prisca na Iryn. Ila maneno ya mama kwenye tafsiri ya ndoto yalitimia.

Kwa sasa acha nibaki naisoma kama story zingine.
Napingana na ww .....
KWA sisi watafsiri movie wa Colombia na Cuba tunaweza sema ndoa iliendelea kwasababu hakuna siku mzeeee insider man aliwahi mshirikisha mama J au iryn au mfanyakazi wa karibu KUHUSU mchepuko(Ni bomu la kujitaftia)

Pia Prisca na Mary hatujawahi ona siku wameenda nyumbani KWA insider (Information is power don't overshare) hawapajui kwake

Pia Boss lady ,mnogesha uzii(iryn) ni vile tu jamaaaa alishaoa hana namna inabidi awe mpole na japo ana kawivu ka kiwango cha lamii(Juu) nothing she can do....

Ndoa ya INSIDER MAN ipo Mikono salama japo visanga viingi alipitia.....
 
Inside kule bagamoyo ulikompeleka mama wawili na baadae ukampeleka jane kunaitwaje ama yoyote anaekumbuka naomba mnikumbushe pls npo bagamoyo hapa nataka niende kupunga upepo
 
Moja ya jambo nililo jifunza ktk episode ya 59 ni usia alio utoa mama Insider kwa Insider kuwa Prisca aachane nae kwa sbb atakuja kumletea matatizo makubwa, hilo limeanza kujitokeza na Insider asipokuwa makini na huyo Prisca utabili wa mama Insider utatimia. Tatizo letu sisi vijana wanapo kuzuia jambo ndo unapozidi kulipenda zaidi kupita kiasi, kimsingi mimi nimekwisha mchukia Prisca tangu yeye aanze kumchukia Iryin.
 
Uko sahihi mkuu kwa sasa jamaa afanye amalize tu story… anaweza ku cut it short akateambia tu mwisho ilikuaje basi… Mfano niligraduate masters… nna kazi kampuni x… Prisca tuliachana… Irene yuko masomoni… Nawaza tu lakini

Acha wivu na haujalazimishwa kumsoma.
 
Hivi Mimi ndio naelewa tofauti??......kwa uelewa wangu hii story mwanzoni ilikuwa true story kweli....ila hapa KATIKATI huyu jamaaa kaamua kuigeuza kuwa FICTIONAL tuuu(nahisi alishindwa kumla iryn) mpk tunavyoongea story imegeuka kuwa dialogue hamna Cha kujifunza

Sisi wafuatiliaji kitambo alisemaga atamaliza hii simulizi kwenye episode za 30s[emoji1][emoji1][emoji1].....kipindi icho nikimaanisha episode 29 zilikuwa nondo kweli mtu unajifunza kitu Ila from there nothing it's seems nothing new.

Haya Ni maoni yangu ila Ni wazi hii mnao scroll down tupo wengiii...... nasubiri comment ya
Acha wivu na haujalazimishwa kumsoma.
 
Maono yangu

Insider anaenda kusoma anatafuta dereva wa kampuni yao

Kazi iyo

Ningekua nipo dar ningeibukia kazi hii
 
hao hawajui kula na kipofu unless mchepuko mwenyewe asiwe mtoaji wa pesa na caring, ila kama Insider alijitahidi sana kumjali Prisca ila sasa Prisca anakosa adabu

Halafu Prisca anajali ugonjwa zaidi ya mtoto.. wamechakachua hiyo mimba akae vizuri kiafya kwa maelekezo wameyapanga.
Kiuhalisia by connecting the dots inaonekana ndoa ya mzee baba na mama J ilishakufa. Tusubiri nani aliivunja kati ya Prisca na Iryn. Ila maneno ya mama kwenye tafsiri ya ndoto yalitimia.

Kwa sasa acha nibaki naisoma kama story zingine.


Ukisoma post zake utaona recently alikuwa na Mama J outing.. alirushq pombe wanakunywa na kuandika yupo nae
 
Back
Top Bottom