Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Balaa sana unajua zike mbegu zinaoza ndani mule zinazalisha bacteria sasa mtu anawashwa balaa ukimkuna inakuwa ahueni ila hya mambo ni mabaya sana msifanye wandugu watu wanajuta hawasemi tu
 
Tena hawa kama unawezana nao, safi kabisa.
Hawana stress mkuu.
Changamoto yao, wakisikia mtu anaburuza panga nje hesabu vita ni ya kwako peke yako asee. Wao kelele tu mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anakuwa wa kwanza kukimbilia bandani anakuachia show mwenyewe
 
Siwez kukaa na matakataka mimi.Yan unakaa na hatari yako mwenyewe.Kiumbe kisicho na akili ambacho mufa wowote kinaweza kukugeukia kikumalize .NEVER
 
Sawa mkuu. Kuna yule jamaaa wale mbwa hao rrotweire yule mtoto walikuwa wamemzoea sana tu na hiyo siku mtoto akawa anacheza na huyo mbwa kwenye majani. Na wakubwa walijua kawaida ksbb kawaida huwa wanacheza mara nyingi na hawakuwa mbali. Lakini ghafla tu kuja kugeuka mbwa anaunguruma,tayari amelalua mtoto vipande vipande
 

German shepherd walitia hasara kuku wa kufuga aina ya broiller waliua kuku 200 ambao walibakizi wiki moja tu waingie sikoni kwa hasira mmiliki akawapa sumu mbwa wote watatu akanunua mbwa wengne hao rottweiller ndio wameanza kukua sasa cha ajabu waliua vip kuku waliokuwa bandani ………… banda la kuku lilikuwa kaka meter 4 kufikia banda la mbwa hao wapuuzi walichimba chin wakatoka bandani na banda likikuwa limesakafiwa walivyofika banda la kuku wakachimba tena chini wakaingia mpaka ndani wana iq kubwa sana
 
duu huwa nawapenda sana puttbull sijui, wale wenye mdomo wa ajabu ajabu, kama ni hvo sina tena mpango na hawa mbwa wa kisasa, acha nifuge paka tu.
Wale ndo hatari zaidi ni wakukaa nao mbali afu wakichelewa kupewa chakula kwa wakati hawachelew kupoteza kumbukumbu wakakushambulia hata wewe unae wafuga
 
Mkuu waliwezaje kuchimba kwenye sakafu
 
Aloo hii kweli utaua asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…