Fuga hawa hawa wa kienyeji. Afundishwe tu sheria za ulinzi. Anakuwa mzuri sana.
Hao wengine wote hao rottweiler, German shepherd wote ni hatari sana. Wengi wanajizungumzia wao lakini ni hatari sana kwa watoto. Hasa watoto kuanzia umri wa kutambaa mpaka kutembea pale,huwa unaweza ukashangaa unapiga story mtoto amekutoroka amemfuata mbwa. Umri huo wanapenda vya kucheza navyo,hasa vinavyo-sogea vyenyewe. Kuja kushtuka wewe kuzunguka nyuma unamkuta mtoto vipande vinne.
Ukifuga hao mbwa ni wa kuwa makini sana nao.