Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hali ni mbaya mtu yuko tayari akupe million 5 kisa umfumue marinda [emoji1316][emoji1316].

Ukiwa dereva wa Uber kukutana na hawa watu ni kawaida inabidi uzoee, na wanatongoza Wanaume kabisa. Wamenisumbua sana hawa watu enzi zangu kuna wengine maarufu tu huko mitandaoni.

Bora Bongo umeenda South Africa? [emoji1544][emoji1544]

utasikia Uncle nipeleke Tips
Balaa sana unajua zike mbegu zinaoza ndani mule zinazalisha bacteria sasa mtu anawashwa balaa ukimkuna inakuwa ahueni ila hya mambo ni mabaya sana msifanye wandugu watu wanajuta hawasemi tu
 
Tena hawa kama unawezana nao, safi kabisa.
Hawana stress mkuu.
Changamoto yao, wakisikia mtu anaburuza panga nje hesabu vita ni ya kwako peke yako asee. Wao kelele tu mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anakuwa wa kwanza kukimbilia bandani anakuachia show mwenyewe
 
Hii ni kweli Mkuu.
Kwenye hii category wapo pia Pitbulls [The most dangerous dog breed], Boerbells, dogo argentino na Cane Corsos.

Halafu wote hawa wako aggresive sana, hua wana attack kwa intentions za kuua [Kuhakikisha victim amekaa kimya] na sio kungata kwa warembo wakina German shepherd.

Boerbels on the other hand, ni wapole sana ila wakiwa trained nae ni hatari sana. View attachment 2765247View attachment 2765245View attachment 2765246View attachment 2765248
Siwez kukaa na matakataka mimi.Yan unakaa na hatari yako mwenyewe.Kiumbe kisicho na akili ambacho mufa wowote kinaweza kukugeukia kikumalize .NEVER
 
Banda unafunga kwa kufuli Mkuu na pia Unatakiwa uwatrain na kuwasocialize na family members. Mbwa kama German Shepherd ni very intelligent fasta tu anawamark family kwa hiyo si rahisi kum attack mwanafamilia. Sema tu labda changamoto kubwa ni Cost, garama ya kuwatunza maana hao siyo kama hawa Local bread wana time table kabisa ya chakula kama nyama za kusagwa, sijui mayai, biscuits ama dry food nk hapo bado matibabu yao pia kuwa na muda wa kuwatake care sasa ni lazima ujipange.
Sawa mkuu. Kuna yule jamaaa wale mbwa hao rrotweire yule mtoto walikuwa wamemzoea sana tu na hiyo siku mtoto akawa anacheza na huyo mbwa kwenye majani. Na wakubwa walijua kawaida ksbb kawaida huwa wanacheza mara nyingi na hawakuwa mbali. Lakini ghafla tu kuja kugeuka mbwa anaunguruma,tayari amelalua mtoto vipande vipande
 
Fuga hawa hawa wa kienyeji. Afundishwe tu sheria za ulinzi. Anakuwa mzuri sana.
Hao wengine wote hao rottweiler, German shepherd wote ni hatari sana. Wengi wanajizungumzia wao lakini ni hatari sana kwa watoto. Hasa watoto kuanzia umri wa kutambaa mpaka kutembea pale,huwa unaweza ukashangaa unapiga story mtoto amekutoroka amemfuata mbwa. Umri huo wanapenda vya kucheza navyo,hasa vinavyo-sogea vyenyewe. Kuja kushtuka wewe kuzunguka nyuma unamkuta mtoto vipande vinne.
Ukifuga hao mbwa ni wa kuwa makini sana nao.

German shepherd walitia hasara kuku wa kufuga aina ya broiller waliua kuku 200 ambao walibakizi wiki moja tu waingie sikoni kwa hasira mmiliki akawapa sumu mbwa wote watatu akanunua mbwa wengne hao rottweiller ndio wameanza kukua sasa cha ajabu waliua vip kuku waliokuwa bandani ………… banda la kuku lilikuwa kaka meter 4 kufikia banda la mbwa hao wapuuzi walichimba chin wakatoka bandani na banda likikuwa limesakafiwa walivyofika banda la kuku wakachimba tena chini wakaingia mpaka ndani wana iq kubwa sana
 
duu huwa nawapenda sana puttbull sijui, wale wenye mdomo wa ajabu ajabu, kama ni hvo sina tena mpango na hawa mbwa wa kisasa, acha nifuge paka tu.
Wale ndo hatari zaidi ni wakukaa nao mbali afu wakichelewa kupewa chakula kwa wakati hawachelew kupoteza kumbukumbu wakakushambulia hata wewe unae wafuga
 
German shepherd walitia hasara kuku wa kufuga aina ya broiller waliua kuku 200 ambao walibakizi wiki moja tu waingie sikoni kwa hasira mmiliki akawapa sumu mbwa wote watatu akanunua mbwa wengne hao rottweiller ndio wameanza kukua sasa cha ajabu waliua vip kuku waliokuwa bandani ………… banda la kuku lilikuwa kaka meter 4 kufikia banda la mbwa hao wapuuzi walichimba chin wakatoka bandani na banda likikuwa limesakafiwa walivyofika banda la kuku wakachimba tena chini wakaingia mpaka ndani wana iq kubwa sana
Mkuu waliwezaje kuchimba kwenye sakafu
 
Sawa mkuu. Kuna yule jamaaa wale mbwa hao rrotweire yule mtoto walikuwa wamemzoea sana tu na hiyo siku mtoto akawa anacheza na huyo mbwa kwenye majani. Na wakubwa walijua kawaida ksbb kawaida huwa wanacheza mara nyingi na hawakuwa mbali. Lakini ghafla tu kuja kugeuka mbwa anaunguruma,tayari amelalua mtoto vipande vipande
Aloo hii kweli utaua asee
 
Back
Top Bottom