Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hakuna mwanaume aliyeoa anasamini wanawake wa nje kuliko hata mke wake..

Kama ilivyomfanyia mama juniour
 
Ndugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.

Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.

Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.

Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.
 
Hata sikumbuki emu samaraizi kwanza 🀣🀣
Iryn kaliwa au bado?
Bossi lady bado hajaliwa ila kuna dalili zote za kuliwaa make akishikwa kiuno kukumbatiwa na kusogezwa Karibu na Insaida anatuliaa tu hata hafurukuti juzi kaliwa mateeeee kimyaaa hajakompeee ni suala la muda tu!! Lol natukio ni mengi sana Ngoja nitulize mshono nikumbuke kwanza akili yangu yenyewe ishazeeka haikumbuki haraka 🀠🀠
 
Tuliza kinena we mdada mzuri
 
Yani me itabudi nianzie mwanzo nishasahau vitu vingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…