Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Check na na jubilee insurance..wana package za watoto..kwa levels tofauti kulingana na mfuko wako
 
Kurefusha story hahahaaa[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!!
Ngoja tusubirie tuone itavokua itabidi siku akiweka scene ya kumla Iryn asimulie the whole process !!
Asieleze kila kitu itakuwa kama naangalia porn naishia kupata tabu na kile chama nisharudisha kadi kitambo
 
Asieleze kila kitu itakuwa kama naangalia porn naishia kupata tabu na kile chama nisharudisha kadi kitambo
🤣🤣🤣🤣! Afanye hivo buana make Iryn ndie anaenogesha hii story!!
Na Hapo tu ndio watu wanaposubiria kwa hamu Ndiomana hata akisema amemla Sijui mary sumaiya lucy Cammila mama wa2 watu hata hatushtuki ...!
Iryn ana uspesho kiukweli!!
 
Najua ataweka kila kitu in detail tusubiri ila mjue Iryn akiliwa picha ndio inaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…