Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Nchi nyingine hurusiwi kabisa kufuga hao viumbe mpaka kibali maalumu.
Kwamba hamna tofauti na anayefuga mnyama Pori kama Fisi hivi au sio! [emoji38]

Inaonekana Rott ni "Zero brain" flan hivi [emoji848]

Huu Uzi hata asipoliwa Iryn sijutii ....Bora hata nimejifunza na Ufugaji wa Mbwa sijatoka Bure!
 
Ndugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.

Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.

Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.

Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.

Embu check Strategies insurance ila bei zao zimechangamka.
 
Unajua siwaelewi wadau humu...mbona mnataka sana kipande cha Iryn kuliwa...au mmeshajiandaa na nyie mumle kupitia uzi?? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Hao vijana wanataka kuchukua sheria mkononi[emoji848]
 
Jubilee nitawacheki j3 natafuta kampuni nyingine afu nifanye comparison
Issue ya Health Insurance ni changamoto kiukweli.
Hawa private insurance zipo nyingi, ila tatizo ni coverage yake. Mf. Kuna Strategies, Sanlam, Britam, Jubilee n.k
Lakini swali la kujiuliza hapo ni hospitali ngapi zinapokea hizo bima??
Mimi kwa uzoefu wangu nakushauri ni bora uwacheki Jubilee insurance maana katika private health insurance wao ndo wana coverage kubwa zaidi.
 
Ndugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.

Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.

Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.

Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.
Hao watoto wanasoma?
 
Hii ya watoto kwa NHIF wanataka ulipie kupitia shule kwa gharama hiyohiyo, na shule kuna kiwango cha idadi ya watoto wafikiwe ndio wanakubali, watoto 100...
Angalia jubilee

Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
 
Heri wana JF,

Paka hapa tulipofika katika story hii kuna mengi ya kujifunza kwa watu wote hasa:-

1.Uaminifu. Hii ni priceless yaani kama hujazaliwa nao basi jifunze ni bidhaa adimu mno.

2.Kuwa mtoaji.Duniani wanasema mkono unaotoa ndio unaopokea.

3.Kuzingatia muda. Hii itaonyesha userious wako na watu kuweza kukupa dili wakijua uko chap.

4.Kukwepa au kujikinga na uzinzi uwe umeoa au hujaoa n vice versa is true.Hili litakuepusha na mengi sana yanayoonekana na yasiyoonekana.

5.Usimdharau yeyote haijalishi unamjua au humjui.Be humble

6.Kuzingatia ibada ni muhimu sana usione vyaelea …………. ,rejea msomali na muajemi

Kwa uchache ni hayo ila yapo mengi.
 
Ndugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.

Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.

Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.

Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.
Strategies jaribu huko wapo vizuri na wameenea hosp nyingi kwa sasa
 
Back
Top Bottom