INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #7,281
Pittbull naye vipi? Maana huyu ndo hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana unapenda sana kunywesha watu mate ww,shemeji ndyo napitia hapa mstari kwa mstari, ila hapo kwenye kubadilishana lita ainh nmesoma mara nne😋😋😋
Kwamba hamna tofauti na anayefuga mnyama Pori kama Fisi hivi au sio! [emoji38]Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Nchi nyingine hurusiwi kabisa kufuga hao viumbe mpaka kibali maalumu.
Private kama vile Jubilee Insurance ( Nahisi wako Under Bank ya ABSA kama sikosei)Kampuni Private ni zipi? Maana tulishazoea NHIF
Ndugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.
Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.
Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.
Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.
Unajua siwaelewi wadau humu...mbona mnataka sana kipande cha Iryn kuliwa...au mmeshajiandaa na nyie mumle kupitia uzi?? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mwamba unaijua darKuna chimbo lipo hapa Salasala linaitwa Poripoa ni hatari, kama unakwenda mwisho wa lami. Pametulia sana [emoji1544]
Issue ya Health Insurance ni changamoto kiukweli.Jubilee nitawacheki j3 natafuta kampuni nyingine afu nifanye comparison
KwakweliHao vijana wanataka kuchukua sheria mkononi[emoji848]
Hao watoto wanasoma?Ndugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.
Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.
Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.
Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.
Really au ndio sarcasm?Story nzuri, nimejifunza mambo mengi sana jamaa huna tamaa na mademu
Nipo hapa rafiki nimemaliza kuisoma muda huu hii episode imekuja na nguvu Mama Rachael kapatwa na dharula imebidi INSIDER aende kumpa kampani maana hao wameshakuwa ndugu Boss lady ni suala la muda ataliwa tuNuhu39 wherayuuuuu episode 60 kwahewaaa
Nikutumie Lita ngapi boss😋Unaonekana unapenda sana kunywesha watu mate ww,
Nami nakunywaga mate ujue😂
Hii ya watoto kwa NHIF wanataka ulipie kupitia shule kwa gharama hiyohiyo, na shule kuna kiwango cha idadi ya watoto wafikiwe ndio wanakubali, watoto 100...Ndugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.
Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.
Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.
Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.
OpportunistUnaonekana unapenda sana kunywesha watu mate ww,
Nami nakunywaga mate ujue😂
Strategies jaribu huko wapo vizuri na wameenea hosp nyingi kwa sasaNdugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.