Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hao watoto wanasoma?
 
Hii ya watoto kwa NHIF wanataka ulipie kupitia shule kwa gharama hiyohiyo, na shule kuna kiwango cha idadi ya watoto wafikiwe ndio wanakubali, watoto 100...
Angalia jubilee

Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
 
Heri wana JF,

Paka hapa tulipofika katika story hii kuna mengi ya kujifunza kwa watu wote hasa:-


1.Uaminifu. Hii ni priceless yaani kama hujazaliwa nao basi jifunze ni bidhaa adimu mno.

2.Kuwa mtoaji.Duniani wanasema mkono unaotoa ndio unaopokea.

3.Kuzingatia muda. Hii itaonyesha userious wako na watu kuweza kukupa dili wakijua uko chap.

4.Kukwepa au kujikinga na uzinzi uwe umeoa au hujaoa n vice versa is true.Hili litakuepusha na mengi sana yanayoonekana na yasiyoonekana.

5.Usimdharau yeyote haijalishi unamjua au humjui.Be humble

6.Kuzingatia ibada ni muhimu sana usione vyaelea …………. ,rejea msomali na muajemi

Kwa uchache ni hayo ila yapo mengi.
 
Strategies jaribu huko wapo vizuri na wameenea hosp nyingi kwa sasa
 
Jubilee nitawacheki j3 natafuta kampuni nyingine afu nifanye comparison
Mkuu kwenye health Jubilee hana mpinzani na package zao ni reasonable. Waone pale Faykat Tower Morrocco 8th Floor ndipo wamehamia.
 
Kama ni watoto wanaoishi kwenye vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji maalumu inawezekana hata NHIF kupata bima . Shida ni ikiwa hao 10 wako vituo tofauti
 
Nyongeza: insider alituaminisha ktk jambo muhimu la mapenzi hapokei simu. Binafsi napata ukakasi kuona kuwa simu ya mama 2 imtoe ktk maandalizi ya mechi na mrembo wake iryn.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…