Kujisahau kupo nakumbuka kwenye Uzi wa marehemu leadermoe najisahau najikuta najifichua mwenyewe uzuri nilikuwa nashtuka mapema na edit haraka kabla mtu haja reply ndo inakuwa basi tena wewe hata uki edit aloe quote au reply inabaki vile vile.Hapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
Hakuna cha code wala nin hii ni chai ila tamu mkuuHapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
Duuh! kumbe hadi wazee wa kwenye makombora ya kina Putin mnasomaga kimya kimya !!? kweli insaida kajua kuwabamba 🤣 🤣Hapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
Stori ilianza ikiwa ya ukweli lakini baada ya kupata umaarufu basi jamaa kaamua kuiweka iwe na vitu vya kutunga vingi.
Leo ndio mara ya kwanza naweka komenti na ndio mara ya tatu ninaisoma juujuu na kuruka vitu vingi visivyo na muelekeo.
Ikishafikia hatua kama hiyo huwa naachana na muandishi.
Kila la kheri mnapoendelea.
Naskia manunu yuko vzr sana kwenye suala la kunyonya mchuz😀,Hao mbwa mnafuga wa nini? Fugeni vi jibwa kama vya kina wema Manunu...
Ndio ujue jamaaa anatupanga,kama wengine wanavyosema ni chai.Pia huko kukosea jina ni makusudi...Ila anajua kutunga story nampa hongeraDuh, mkuu inabidi wakati mwingne uwe unaweka mipaka baina yako na hao marafiki zako kama wakina eva na sumaiya, kwani eva hakuona kuwa uko na mtu mwngne au alipanga akiharibie kwa iryn, dah ni kama uko na bahati mbaya na iryn pole sana maana naamini mpaka unakuja kukaa nae sawa basi umepitia mengi sana
Tumeua mtu 4 leo,na Man City ajiandaeWanangu wa Arsenal mpo?
Maguire again
Watu wanalalamikaga chai mara cjui kahawa,ila hii sasa ndo yenyewe TATEPA OG😀German shepherd walitia hasara kuku wa kufuga aina ya broiller waliua kuku 200 ambao walibakizi wiki moja tu waingie sikoni kwa hasira mmiliki akawapa sumu mbwa wote watatu akanunua mbwa wengne hao rottweiller ndio wameanza kukua sasa cha ajabu waliua vip kuku waliokuwa bandani ………… banda la kuku lilikuwa kaka meter 4 kufikia banda la mbwa hao wapuuzi walichimba chin wakatoka bandani na banda likikuwa limesakafiwa walivyofika banda la kuku wakachimba tena chini wakaingia mpaka ndani wana iq kubwa sana
Sio mara ya pili mkuu ni mara ya tatu..mara ya kwanza walidendeka wakamulikwa na taa ya gari🥴Hivi Eva na Mama2 wanashida Gani?
Mara ya pili hii mchongo una Burst ....Shubaaamit !
Mshkj kazngua nikiwa na Dem tofaut akija mwingn atuliee au tutafytane badaeMaguire kama kawaida yake, ashachoma kibanda maniner!
Unanikera kifala sana mwanangu. Yani shida kuu kwenye mahusiano yako yote ni kukosa mipaka. Kwa lifestyle yangu, huyo Eva asingethubutu hata kuisogelea hiyo meza niliyokaa na Iryn!
Nimepoteza matumaini kabisa ya kushinda hii mechi. Maana foward butu, beki Maguire. Potelea mbali.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
inatia ukakasi kidogo kama"Tukapiga ramance ghafla simu ikaita. Alikuwa ni mama wawili."
"Fish market akatokea Eva"
Following closely these incidences!
Hiko kipengele kimenifikirisha na mashaka juu ila nammkubali insider man , insider man is a [emoji238]So tumekubaliana tunywe tu mtori ila nyama chini hamna, kiufupi tunapangwa.
Hivi hata ww mpenzi msomaji , vidume wenzangu (mafisi) unaweza muacha iryn katika hali kama ile bila hata kushtua kimoja kisa mama wa2 kweliii? Hahah niseme tu kwa hapa tulipofika ndugu mtunzi 'anatuona sisi kama nyani'