Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
Kujisahau kupo nakumbuka kwenye Uzi wa marehemu leadermoe najisahau najikuta najifichua mwenyewe uzuri nilikuwa nashtuka mapema na edit haraka kabla mtu haja reply ndo inakuwa basi tena wewe hata uki edit aloe quote au reply inabaki vile vile.
 
Hapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
Hakuna cha code wala nin hii ni chai ila tamu mkuu
 
Hapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
Duuh! kumbe hadi wazee wa kwenye makombora ya kina Putin mnasomaga kimya kimya !!? kweli insaida kajua kuwabamba 🤣 🤣
 
Stori ilianza ikiwa ya ukweli lakini baada ya kupata umaarufu basi jamaa kaamua kuiweka iwe na vitu vya kutunga vingi.

Leo ndio mara ya kwanza naweka komenti na ndio mara ya tatu ninaisoma juujuu na kuruka vitu vingi visivyo na muelekeo.

Ikishafikia hatua kama hiyo huwa naachana na muandishi.

Kila la kheri mnapoendelea.

Nakuunga mkono bro uko mwanzo ilikuwa ni story ya kweli ila mbele tunapoenda ni kutunga tu kwa hali ya kwaida tu uyo lryn alikuwa ashaliwa ilaa ikifika wakati wakumla au wapo faragha mwandishi anazidi kuweka vikwazo ila sio mbaya ni utunzi mzuri japo.
 
Duh, mkuu inabidi wakati mwingne uwe unaweka mipaka baina yako na hao marafiki zako kama wakina eva na sumaiya, kwani eva hakuona kuwa uko na mtu mwngne au alipanga akiharibie kwa iryn, dah ni kama uko na bahati mbaya na iryn pole sana maana naamini mpaka unakuja kukaa nae sawa basi umepitia mengi sana
Ndio ujue jamaaa anatupanga,kama wengine wanavyosema ni chai.Pia huko kukosea jina ni makusudi...Ila anajua kutunga story nampa hongera
 
Maguire kama kawaida yake, ashachoma kibanda maniner!

Unanikera kifala sana mwanangu. Yani shida kuu kwenye mahusiano yako yote ni kukosa mipaka. Kwa lifestyle yangu, huyo Eva asingethubutu hata kuisogelea hiyo meza niliyokaa na Iryn!

Nimepoteza matumaini kabisa ya kushinda hii mechi. Maana foward butu, beki Maguire. Potelea mbali.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
German shepherd walitia hasara kuku wa kufuga aina ya broiller waliua kuku 200 ambao walibakizi wiki moja tu waingie sikoni kwa hasira mmiliki akawapa sumu mbwa wote watatu akanunua mbwa wengne hao rottweiller ndio wameanza kukua sasa cha ajabu waliua vip kuku waliokuwa bandani ………… banda la kuku lilikuwa kaka meter 4 kufikia banda la mbwa hao wapuuzi walichimba chin wakatoka bandani na banda likikuwa limesakafiwa walivyofika banda la kuku wakachimba tena chini wakaingia mpaka ndani wana iq kubwa sana
Watu wanalalamikaga chai mara cjui kahawa,ila hii sasa ndo yenyewe TATEPA OG😀
 
Maguire kama kawaida yake, ashachoma kibanda maniner!

Unanikera kifala sana mwanangu. Yani shida kuu kwenye mahusiano yako yote ni kukosa mipaka. Kwa lifestyle yangu, huyo Eva asingethubutu hata kuisogelea hiyo meza niliyokaa na Iryn!

Nimepoteza matumaini kabisa ya kushinda hii mechi. Maana foward butu, beki Maguire. Potelea mbali.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mshkj kazngua nikiwa na Dem tofaut akija mwingn atuliee au tutafytane badae
 
Sema kuna watu hii stori waliisanukiaga mapema sana kwamba mwamba kuna namna anatupanga ili kufanya stori iwe ndefu kiuhalisia story hii ni episode thelathini tu na hizo nyingine ni chumvi mixer kamba style za kunogesha genge.
Ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Jamaa anajua kusimulia katika mtiririko unaoeleweka.
Nilikuwaga na ma alosto na hii stori ila baada ya leo atoe asitoe alosto imekata.
 
So tumekubaliana tunywe tu mtori ila nyama chini hamna, kiufupi tunapangwa.

Hivi hata ww mpenzi msomaji , vidume wenzangu (mafisi) unaweza muacha iryn katika hali kama ile bila hata kushtua kimoja kisa mama wa2 kweliii? Hahah niseme tu kwa hapa tulipofika ndugu mtunzi 'anatuona sisi kama nyani'
Hiko kipengele kimenifikirisha na mashaka juu ila nammkubali insider man , insider man is a [emoji238]
 
Back
Top Bottom