Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

When it comes to Iryn
 
Wabheja sana mtoa story kwa episode nyingine leo. Hongereni sana Wananchi 💚💛💪!

Kesho nayo siku 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️😴💤💤💤💤🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️!!!
 
Wewe ni mse***** Insider
 
Mkuuu! Makampunu ya bima nchini yako mengi! NHIF ilimuwa inakimbiliwa kwasababu ya unafuu wa makato kwa mchangiaji na kiasi halisi serikali ilikuwa inafidia. Sasa haya makampuni binafsi kiwango ni kikubwa na scope ya coverage inaendana na kiwango unachochangia tofauti na NHIF! Japo NHIF kama kiwango cha uchangiaji ni kidogo matibabu sharti yaanzie ngazi ya chini ya zahanati, vituo vya afya, hospitali za rufaa n.k. Ntajaribu kukutafutia mkuu kutokana na ombi lako
 
Insider man! Hata mtu ambaye hajasomea saikolojia atajua unasema uongo! Uo ni uongo wa mchana kweupe! Unamtumia Iryn kama "sterling"
Mara taa ziwamulike, mara simu iite, mara Eva, ila Eva kazingua sana.
Hii story uongo mtupu! Anatufanya wote mazuzu! Siisomi tena!
 
Yani huyo binti mlevi eve tangu anaanza kufunguka story za kina prisca mpaka anafika kwenye mimba bado umekaa tu unamsubiria tu amalize while unajua iryn anasikia, tuache kwanza mzee.

Scripted!
INSIDER MAN umezingua kwakweli! Episode zoote umez*ny**ea na kupoteza uhaminifu kwa watu wazima tuliokuwa tunakufuatilia!🤣😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…