@Watu8 njoo tufanya kikao Cha dharura hapa na kapten
Maguire kama kawaida kachoma tena , usenge mtupu.
@Watu8 njoo tufanya kikao Cha dharura hapa na kapten
Bossy lady Iryne View attachment 2768052
SASA KAMA ANAKUOANGA MBONA UMEKAZA MAKALIO KUISOMA MUDA WOTE SI UNGEISHIA EPISODE YA 30 UKAAMSHA. KUTWA KUCHWA UMEKAZA MAKALIO KUIFUATILIA. KAMA CHAI UKIIONA IKAUSHIE USIIFUNGUE SIO HADI UCOMMENT HAPA UMELAZIMISHWA? PUMBAVU KABISA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naimani hajakuzidi mbali wewe maanaAbsolutely, she’s very beautiful.
Kwanini unasema hivyo mkuu😂?Naimani hajakuzidi mbali wewe maana
Chai.hii hakuna demu msomi wa chuo aone watu wamekaa wawili akawafuata na kuanza kuongea utumbo huoEva inabidi ajifunze kubalance shobo imagine ungekuwa na mama j,salamu tu ingetosha maswala ya mimba angemuuliza besty yake[emoji2955][emoji2955]kanibore
Hapa kweli aliteleza .....na tunamushusha vyeo kadhaaStor ni nzuri,lkn kuna maeneo insider anatuchanganya,...inakuaje kila wakati unapokua na issue sensitive na Iryn kuna jambo linaingia kuvuruga?...ulikwenda nae kwa lengo la kulala ukapigiwa simu na mama 2,unakwenda kwenye maongezi nyeti na Iryn mara Eva anaingilia...kwa matukio haya napata picha huna msimamo,huyu Eva alipokuita tu ungempiga stop ukiwa serious kwamba niko na mtu muhimu hapa tena ni boss wangu....lkn anakaa na ww una mtu mhm unamuacha anaongea mambo ambayo unajua yatamkwaza mtu uliye naye...kama mwanaume umefail pakubwa sana.
Mbn wa kawaidaBossy lady Iryne View attachment 2768052
Maguire kama kawaida kachoma tena , usenge mtupu.
Kwa kweli mimi sio mtu anaeamini hii story ni ya kutunga lakini kuna vitu havimake sense kabisa hivi kweli mama wawili anakupigia simu saa 8 usiku mume wa mtu eti kwa sababu mtoto anaumwa, mbona hakumpigia baba wa mtoto si ni kwa sababu anajua ni mume wa mtu na anaheshimu hilo iweje wewe, na tena eti wewe ni mtu wake wa karibu ina maana kabla hajakutana na insider alikuwa hana rafiki wala mtu yeyote ambae angeweza kushirikiana nae kama hivyo.Ulizingua sana mkuu! kwahyo hujui kinachomliza Iryn au sio? Then unaondokaje unamuacha mwanamke analia? Alafu eti unamwambia kua huelewi analia nn wakat hamna mahusiano dah majibu ya kikatil sana man, wewe umeambiwa mara ngapi na Lucy kua boss wenu anakupenda?! Alafu mama wawil anapata wap ujasir wa kukupigia usiku simu na anajua ww mume wa mtu, otherwise unambie alikua anahitaj usafir( alikupigia kama dereva) . Leo nimeshindwa kucomment kimoyomoyo episode hiz mbili ulizingua sanaa yan
Maguire kama kawaida yake, ashachoma kibanda maniner!
Unanikera kifala sana mwanangu. Yani shida kuu kwenye mahusiano yako yote ni kukosa mipaka. Kwa lifestyle yangu, huyo Eva asingethubutu hata kuisogelea hiyo meza niliyokaa na Iryn!
Nimepoteza matumaini kabisa ya kushinda hii mechi. Maana foward butu, beki Maguire. Potelea mbali.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kama wapo shuleni kwa sasa wanaandikisha kupitia shule zao wanaposoma kwa gharama zile zile but kama hawapo shuleni na ni yatima hiyo ni changamoto kubwa system imeamua kuwatenga piaNdugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.
Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.
Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.
Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.