Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Poa mkuu,ubarikiwe!
 
Maguire akipost episode mpya mnishtue mazee!

Ngoja nikasogeze muda kwenye nyuzi zenye vayolensi.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Punguza stress mkuu hujalazimishwa kusomaa
 
Sasa kijana unapanick kwenye uzi wa mtu utafikili umelazimishwa kusoma ata nikiamua mm kufuta kitu kwenye post yangu huna haki ya kuongea kitu chochote ko bro kaa kimya au pita kushoto mi naamini una apps nyingi kwa sim yako, au pia jf ni kubwa sana so unaeza endelea na threads nyingine. Sio kukaa unaponda kila siku make mwisho wa siku mnaonekana kama hamna cha kufanya. We jitafakari umeanza lini kusoma na mpaka leo upo unafatilia ili uone kama amepost😂😂😂 Sema haters mnatia huruma kinyama😂😂
 
Ila kuna watu wanakuwa serious kwenye mambo ambayo hayahitaji hata userious muda mwingne hata kama mtu anadanganya au anasema ukweli hasa kwenye hizi stori wewe chukulia tu kuwa ni stori na unasoma ili:
kuburudika,
Kujifunza,n.k
Kwani Ktk maisha ukiwa serious na kila japo kama wewe ni ME utapungukiwa nguvu za kiume bure mwisho wa siku ni presha + kisukari
 
Kipindi kile nasoma nilikua nasali Azania front wakati wa mnada mkungu wa ndizi ulinunuliwa Kwa tsh 150000/= trey la mayai 30000/= nikasema hii. Kuna siku nilienda CC UPANGA. Nakumbuka Kuna mzungu alifika pale na land Rover kali bala niskia mchungaji anamwambia mkurugenzi wa songas sogea
Mbele. Nilipo kuuliza Kwa jamaa mmoja aliniambia jamaa anakunja 100mil Kwa mwezi nikasema dar watu wanahela. Usibishe kitu kama hajawai kukiona
 
Kwani kutoa comment napo ni kupangiana.
Hii nchi kuna watu wanajiona wao ndio yao peke yao
 
Mkuu ndo unalitambua leo hili??

Wacha tuburudike tu[emoji16]

Ona kama hapo, alivyotupiga chenga ya Max Nzengeli[emoji23]
 
Storry nilikua naifuatilia kwa karibu sana,lakini matukio 2 ya kupigiwa simu saa 8 usiku na mama 2 na Eva kuingilia maongezi imenitoa kabisa kwenye mstari...yawezekana ni stori ya kweli lkn haya maeneo 2 yana walakini mkubwa,...kiuhalisia,mgonjwa kama kafikishwa hospital hakukua na ulazima wa ndugu Insider kwenda hospital usiku ule kwa sababu huwez badirisha chochote kwenye Afya ya mgonjwa,...pili Eva kua na huo uhuru wa kujiachia maneno,wapo wanawake wa hivyo lkn ni wachache,mwanamke anajitambua hawezi ingilia kirahisi hivyo tena amekukuta na mwanamke,hapo angeweza jificha ili ampelekee best yake umbeya...lkn tunashukuru kutuburudisha.
 
Katika hao wachache tunahitimisha vipi kama Eva hawezi kuwa miongoni mwao?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Daah ila JF mmenishinda tabia watu wa humu ndani mmeamua kumgeuka Insider mnampiga spana siyo poa kabisa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…