Storry nilikua naifuatilia kwa karibu sana,lakini matukio 2 ya kupigiwa simu saa 8 usiku na mama 2 na Eva kuingilia maongezi imenitoa kabisa kwenye mstari...yawezekana ni stori ya kweli lkn haya maeneo 2 yana walakini mkubwa,...kiuhalisia,mgonjwa kama kafikishwa hospital hakukua na ulazima wa ndugu Insider kwenda hospital usiku ule kwa sababu huwez badirisha chochote kwenye Afya ya mgonjwa,...pili Eva kua na huo uhuru wa kujiachia maneno,wapo wanawake wa hivyo lkn ni wachache,mwanamke anajitambua hawezi ingilia kirahisi hivyo tena amekukuta na mwanamke,hapo angeweza jificha ili ampelekee best yake umbeya...lkn tunashukuru kutuburudisha.